Juventus Special Thread

Juventus Special Thread

Unfortunately, the Instabul snow didn't save Juventus as the Belgrade fog saved AC Milan.

_70693697_pa-17992848.jpg


r


_70855056_pa-17992844.jpg


290-10Oxjy.AuSt.55.jpeg


EMT hii ishu ya Milan ulivyoing'ang'ania...dah
 
This should be a lesson to Juve.Mechi hii sijaitazama lakini nilijua itakuwa ngumu.Juve hakutolewa na mechi hii. Juve katolewa na ile draw ya Fc Copenhagen na Galatasaray mechi ya kwanza.Hii ndio kitu timu ya Conte inatakiwa kujifunza,kwamba kila mechi ni muhimu.Wadau tatizo la Juve ya Conte linaendelea.kushindwa kuperform mechi ndogo.Kuanza mashindano kwa kusuasuap.Stupid Conte!UEFA ndogo inatufaa tukajifunze kung'ang'aniwa huko!

Ngoja niwasilishe na akina Invisible warudishe ile title ya zamani ya hii thread: Will Juventus qualify for the Champions League?
 
Last edited by a moderator:
EMT hii ishu ya Milan ulivyoing'ang'ania...dah

Ilikuwa Champions League 1988/1989, Round ya 16 iliyochezwa tarehe 10 November 1988 katika uwanja wa Belgrade huko Serbia.

Refa alikuwa D. Pauly kutoka Ujerumani. Watazamaji walikuwa 88,000

Chances za Red Star za ku-qualify zilikuwa asilimia 82 wakati AC Milan asimilia 18 tuu kulinganisha na asilimia 56 za mechi za nyuma.

Lakini AC Milan waliponea kwenye tundu la sindano, thanks to the fog. Juve wameshindwa kuponea kwenye tundu hilo hilo.


[video=youtube_share;LjEECAkk1-E]http://youtu.be/LjEECAkk1-E[/video]

Msikilize huyo commentator.

[video=youtube_share;0b591_Pyg3A]http://youtu.be/0b591_Pyg3A[/video]
 
Sawa sawa tu. mm haijaniuma 7bu nilijua kwampira ule lazima tufungwe Conte ndio mleta matatizo siku zote. Timu inacheza pasi fupi wakati uwanja unamaji na barafu unategemea ushinde. Viungo wakabaji wamejazwa utadhani tunacheza na Bayern au Barca. Giovinco, Caceres na Qugliarela ilibidi waingie mapema. Mechi ilihitaji watu wenye nguvu nambio. Forza juventus.Leo nipo milan kwa mkopo.
 
Gala wamepita lakini wameenda kuwapa watu point za kuingia robo fainali 2. Man u mbovu lakini Gala hawawezi kuifunga Man u. Juve leo kiwango kibovu sana.
 
Gala wamepita lakini wameenda kuwapa watu point za kuingia robo fainali 2. Man u mbovu lakini Gala hawawezi kuifunga Man u. Juve leo kiwango kibovu sana.

Mbona huweleweki. Unasema Gala ni wabovu, Jeve je?

Maana wamecheza hii mechi tokea jana na wakashindwa kufunga hata goli moja.

Wakacheza tena leo lakini hola.
 
Gala wamepita lakini wameenda kuwapa watu point za kuingia robo fainali 2. Man u mbovu lakini Gala hawawezi kuifunga Man u. Juve leo kiwango kibovu sana.

Ndugu yangu utaambiwa maneno ya mkosaji, kama Gala wabovu na wametutoa sisi then sisi ni triple wabovu
 
Kweli Mourinho, ngoja tunyamaze tu. Maana tutaambiwa maneno ya mkosaji.
 
wenye hii nyumba mpo?
Au mmekwenda kwenye ngoma Mkulanga kwa Biti Ally?
 
Gattuso, Brocchi have houses raided in match-fixing probe

The houses of Gennaro Gattuso and Cristian Brocchi have been raided by police as part of an investigation into match-fixing.

Four men have been arrested, reports Italian paper Gazzetta dello Sport, though none of the quartet themselves are sportsmen.

The ‘calcioscommesse’ investigation is part of the Italian police’s operation against illegal betting in football, with the four men taken into custody believed to be alleged intermediaries between footballers and those placing bets.

Former Italy internationals Gattuso and Brocchi saw their houses raided as part of the operation and are now under investigation.

Gazzetta also writes that authorities are taking a close look at a number of top-flight games involving Milan, Juventus and Inter.

Those under the microscope are Milan-Lazio, Chievo-Milan [both February 2011], the March 2011 Milan-Bari game, Juve-Lazio [April 2012] and Palermo-Inter [April 2013].

A press conference will be held later on Tuesday to give more details on the latest developments.

Gattuso, 35, was sacked as Palermo manager in September. During a colourful playing career he represented Rangers and Milan, as well as winning 73 caps for the Italian national team.
 
Nawewe pia Mkuu Gang Chomba. Maana uzi umesinzia tangu tutolewe na gala.
 
Juve lazima tubebe kombe tena mara tau kama hat trick vile hahaha ila kwa Man u masikitiko Juve atanitulizia machungu....
 
Leo game na Roma Pweza anasemaje wazee wa Bianconeri?
Naona kama hamjiamini....
 
pachanya msikie asiyejiamini anavyojishtukia kama wewe


Miralem Pjanic: Roma not afraid of Juventus
The Bosnian has the utmost respect for the Scudetto holders but says Rudi Garcia's unbeaten side is a match for any side in Italy.
Miralem Pjanic says Roma is not the least bit afraid of Juventus ahead of Sunday's Serie A showdown in Turin.

The Bianconeri have won the Scudetto for the last two seasons and are currently five points clear of the Giallorossi at the top of the table.

However, Pjanic insists that unbeaten Roma will travel to Juventus Stadium in hope rather than fear. "Juventus are a very strong team," the Bosnian told Gazetta dello Sport. "But we are not afraid of them. We know we are on a par with any opponent in the league, but have to be on top of our game to beat Juve. "It's going to be a great game for sure. But we're determined to bring home some valuable points."
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom