Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
Unfortunately, the Instabul snow didn't save Juventus as the Belgrade fog saved AC Milan.
![]()
![]()
![]()
![]()
EMT hii ishu ya Milan ulivyoing'ang'ania...dah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unfortunately, the Instabul snow didn't save Juventus as the Belgrade fog saved AC Milan.
![]()
![]()
![]()
![]()
This should be a lesson to Juve.Mechi hii sijaitazama lakini nilijua itakuwa ngumu.Juve hakutolewa na mechi hii. Juve katolewa na ile draw ya Fc Copenhagen na Galatasaray mechi ya kwanza.Hii ndio kitu timu ya Conte inatakiwa kujifunza,kwamba kila mechi ni muhimu.Wadau tatizo la Juve ya Conte linaendelea.kushindwa kuperform mechi ndogo.Kuanza mashindano kwa kusuasuap.Stupid Conte!UEFA ndogo inatufaa tukajifunze kung'ang'aniwa huko!
EMT hii ishu ya Milan ulivyoing'ang'ania...dah
Gala wamepita lakini wameenda kuwapa watu point za kuingia robo fainali 2. Man u mbovu lakini Gala hawawezi kuifunga Man u. Juve leo kiwango kibovu sana.
Gala wamepita lakini wameenda kuwapa watu point za kuingia robo fainali 2. Man u mbovu lakini Gala hawawezi kuifunga Man u. Juve leo kiwango kibovu sana.
wenye hii nyumba mpo?
Au mmekwenda kwenye ngoma Mkulanga kwa Biti Ally?
Leo game na Roma Pweza anasemaje wazee wa Bianconeri?
Naona kama hamjiamini....
Leo game na Roma Pweza anasemaje wazee wa Bianconeri?
Naona kama hamjiamini....