Nimefurahishwa sana na willingness for all out success waliyoonyesha wakurugenzi wa Juventus.Wamepanga kumpa Conte mkataba hadi 2018 na kumpa nguvu ya kununua wachezaji yeye binafsi,na kwa kuanzia kawaambia anataka fast paced 4-3-3 formation,anamtaka Cerci wa Torino na Cuadrado wa Fiorentina(nasapoti sana hii kitu,tukiwapata hawa kiukweli,kutakuwa na mabadiliko makubwa),na wamekubaliana naye kwamba european success should be the central focus.Kwa hiyo Monaco na pesa zao wameshamkosa Conte na hata Pogba watamsikia tu.Hawampati ng'o.Kwa mipango hii natangaza kurudi jamvini manake sasa tuna mawazo ya aina moja na akina Agnelli na Marotta.Wametuheshimu mashabiki wa Juve,wametuheshimu international fans,wameonyesha kuwa wasikivu kwa Conte,shabiki namba moja wa Juve mwenye kujua nini tunataka.Thank you my old boys at Gallileo Ferraris.Naamini huu mkakati.I can dream now.Mafanikio huanza kwa mikakati.Mambo mawili nayaamini sana,ni kumpa rungu la usajili kocha,na kuamini katika champions league glory,hapa sasa tunakwenda sawa,back in where we belong.I can see Lippi's era returning back through his team captain.Naweza kuvumilia kutazama serie a na europa cup with a future hope now.