Juventus Special Thread

Leo tunaua Napoli.I'm confident,i'm sure,i'm proud and peaceful!I AM A JUVENTINO!Wapi Mourinho na juventino wengine tuanze sherehe mapeeema kabisa!

Nipo hapa kwa hamu zote, nishakula korosho kiroba kizima, mihogo kama minne, miwa ya kilombero 6, mtindi lita 3, maparachichi 10, nikamalizia na ugali wa muhogo na sato wawili.
Saa hizi niko na kisichana na embassy mezani, namsubiri mchumba Napoli nimpe vyake!

Forza Ragazzi
 
Last edited by a moderator:
Juventus 3 Napoli 0 Loriente,Pirlo na Pogba bao la Pogba si mchezo na free kick ya Pirlo. Dk Inaenda 83 Game over Juventus soon atamkamata Roma safi sana vijana wa Conte.
 
Juventus 3 Napoli 0 Loriente,Pirlo na Pogba bao la Pogba si mchezo na free kick ya Pirlo. Dk Inaenda 83 Game over Juventus soon atamkamata Roma safi sana vijana wa Conte.

Roma kakamatwa na Sassuolo 1-1,so Juve anampumulia kisogoni sasa kwa tofauti ya pointi moja tu,"Scudetto showdown imeanza,kumekucha serie a!"
 
Daah jana nililala wakuu. lakini nimeona highlights. Kweli goli la Pogba ni balaa tupu. hata Pirlo nae kafunga goli zuri pia. Roma wamedata wanatambua kabisa tukicheza nao lazima tuwafunge. Pia mm naimani tutashika usukani kabla hata ya kuifunga Roma.
 
Teveez,Llorente!jamani Llorente ananipa raha dah!naona faida ya usajili!Livorno hoi!
 
Masikini Roma jamani, ndio tumemshusha tayari. Pale kwenye usukani ndio asahau tena. Yani Sebastian Vettel anaongoza lap alafu akwachie ushike usukani.
 
Masikini Roma jamani, ndio tumemshusha tayari. Pale kwenye usukani ndio asahau tena. Yani Sebastian Vettel anaongoza lap alafu akwachie ushike usukani.

hakuna kitu kama iko..
 
Masikini Roma jamani, ndio tumemshusha tayari. Pale kwenye usukani ndio asahau tena. Yani Sebastian Vettel anaongoza lap alafu akwachie ushike usukani.

Karibu tutawaimbia kale kawimbo, kale kaka juve2012 anapenda sana kuwaimbia Milan
 
Last edited by a moderator:
Wakati Roma hawajapona kale kaugonjwa ka kwikwi, Milan wamepumua leo na baadae wanaume wa shoka, the Bianconeri tutakuwa tunafingua gap hapo kileleni
 
Bora Juventus wananipa raha Kule Kop wanaanza kunipa presha tu FORZA Juventus kati Pirlo na Pogba Mbele Tevez na Lloriente mwengine haina haja kusema timu imekamilika ukimtaja Vidal ujue top ndio nafasi Yao.
 
Wakati Roma hawajapona kale kaugonjwa ka kwikwi, Milan wamepumua leo na baadae wanaume wa shoka, the Bianconeri tutakuwa tunafingua gap hapo kileleni

otea Juve atakuwa winter champion na atamuacha wa pili kwa gap la point ngapi nione kama una uwezo wa kumfikia pweza wangu zeroseventytwo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…