Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Hivi Ziroseventytwo na Benitez wako na Napoli yako mmeishia wapi vile? Leo Atalanta wamewananiiinh eenh? Vitatu? Lol
Hapa mi sina cha kuchangia labda akija mropokaji G Chomba. nimesign in nikupe Hi kitambo sana mdau wangu sijatia timu jamvini niliwamiss mno, poa mi narudi kwenye uzi wangu wa wazee wa uturuki.
Sikujua kuwa Roma wana uwanja wa hovyo namna ile.
Kila la kheri na Napoli yako
jamaa bado hawajasawazisha?
Karibu sana kwa Wanabianconeri Mkuu, kitambo sana sijakusoma hapa, kabla ya Uturuki kila la kheri na safari ya Etihad
Nishakaribia mkuu, kesho dua zako muhimu maana wale jamaa wanatisha kama njaa, usikose kwenye uzi japo unifariji mfiwa mtarajiwa ila ikitokea tofauti wajina wako ataongea mno maana jamaa hana tofauti na Chomba akipata kaupenyo.
...nimetoka kule goal.com naona tayari 2 kwa 0. Mnaongoza.
Hahahahahahahahahaaaaaa, una matani na Gang Chomba wewe
Nimemiss sana mineno yake ya ajabu yani, toka juzi nilikuwa nakusakeni kwenye uzi niwape Hi lkn sikuwapata kwenye live threads thanx leo nimekuotea, I wish naye ntagogana naye mzee wa kujing'ata mgongo maana sitegemei kuhadimika tena nimeshatoka machakani network za juu ya mwembe.
tutakuwa pamoja mdau tuombe uzima tu, ukimuotea GC mfikishie salamu kuwa namkaribisha alete mineno yake ya kero maana nimeimiss sana.Usiadimike kesho tu
tutakuwa pamoja mdau tuombe uzima tu, ukimuotea GC mfikishie salamu kuwa namkaribisha alete mineno yake ya kero maana nimeimiss sana.
Haya bana, najua unawahi kulala kwa sababu kesho inaweza kuwa ngumu kidogo, kama ujuavyo tena kuwa kikojozi hapati usingizi ugenini!
Teeh teeh teeh, kweli ukiwa karibu na ua ridi nawe utanukia, umeshaanza kuropoka nawe kama best yako, kabla sijatoweka jamvini nilikuacha umejaa na hekima na busara sasa taratibu anakuvuta upande wake, poa mdau siku hizi birthday ya chama tawala sio mapumziko ya kazi ngoja tukusanyenguvu za kulinda vimshahara japo havitoshi lkn ukitaka kujua kama mshahara wako ni mkubwa fukuzwa kazi. G9 best.
Nimefurahishwa sana na willingness for all out success waliyoonyesha wakurugenzi wa Juventus.Wamepanga kumpa Conte mkataba hadi 2018 na kumpa nguvu ya kununua wachezaji yeye binafsi,na kwa kuanzia kawaambia anataka fast paced 4-3-3 formation,anamtaka Cerci wa Torino na Cuadrado wa Fiorentina(nasapoti sana hii kitu,tukiwapata hawa kiukweli,kutakuwa na mabadiliko makubwa),na wamekubaliana naye kwamba european success should be the central focus.Kwa hiyo Monaco na pesa zao wameshamkosa Conte na hata Pogba watamsikia tu.Hawampati ng'o.Kwa mipango hii natangaza kurudi jamvini manake sasa tuna mawazo ya aina moja na akina Agnelli na Marotta.Wametuheshimu mashabiki wa Juve,wametuheshimu international fans,wameonyesha kuwa wasikivu kwa Conte,shabiki namba moja wa Juve mwenye kujua nini tunataka.Thank you my old boys at Gallileo Ferraris.Naamini huu mkakati.I can dream now.Mafanikio huanza kwa mikakati.Mambo mawili nayaamini sana,ni kumpa rungu la usajili kocha,na kuamini katika champions league glory,hapa sasa tunakwenda sawa,back in where we belong.I can see Lippi's era returning back through his team captain.Naweza kuvumilia kutazama serie a na europa cup with a future hope now.
Wanabianconeri wameususa uzi wao, humsikii juve2012 anachosema?