Juventus Special Thread

Juventus Special Thread

Mmh,burudani,nasubiri cross kwenda kwenye kichwa cha like sanamu letu la new York
 
Salam wakuu! Leo kuna ule mpambano wa kufa m2 kati ya machampions 2 b Juventus Turin dhidi ya mabingwa wa copa italia watarajiwa yaani club iliyowahi kuchezewa na mchezaji bora kabisa hapa dunia yaani Diego Maradona hapa namaanisha S S Napoli.

Leo Napoli hawana cha kupoteza bali kulinda heshima, na kuendelea kujikita kwenye nafasi ya 3 kwenye msimamo wa ligi. Game itaanza saa 4:45 usiku huu kwa saa za kibongo. Tukutane pale estadio st paul mjini nepol.

shifta, juve2012, obwato, Mourinho, pachanya, Viper, EMT tusikose.

Nashukuru kwa kutambua kuwa Diego Armando Maradona D10S ndiye Mungu wa soccer, hayo mengine time will tell
 
Last edited by a moderator:
Half time tushakufa kimoko!kule mbavu ya kulia Insigne anatamba tuu,sijui vipi,wasipomkaba huyu na Hamsik utakuwa utata.
 
dah! Tanesco wamenitoa kwenye game, wamekata umeme ila na mvua nayo inanyesha kubwa. Nafuatilia kupitia goal.com. Bado 1. 2-0 lazima
 
Pole sana, mpaka umeme urudi huko kwako Juventus tutakua tunaongoza 2-1

mpaka sasa 2-0!same Juve problems!kushindwa kuzuia magoli ya counter,kushindwa kufungua locked defences za wapinzani,mfumo unaotabirika na wapinzani!ngoja nikalale!
 
Salam wakuu! Leo kuna ule mpambano wa kufa m2 kati ya machampions 2 b Juventus Turin dhidi ya mabingwa wa copa italia watarajiwa yaani club iliyowahi kuchezewa na mchezaji bora kabisa hapa dunia yaani Diego Maradona hapa namaanisha S S Napoli.

Leo Napoli hawana cha kupoteza bali kulinda heshima, na kuendelea kujikita kwenye nafasi ya 3 kwenye msimamo wa ligi. Game itaanza saa 4:45 usiku huu kwa saa za kibongo. Tukutane pale estadio st paul mjini nepol.

shifta, juve2012, obwato, Mourinho, pachanya, Viper, EMT tusikose.

Sorry, Mkuu nimepoteza interests kidogo na Serie A. Serie A siyo kama ilivyokuwa zamani.

Imekuwa ligi ya wachezaji wa kigeni kwenda ku-retire kule.

Nakumbuka enzi za akina Maradona, George Weah, Shevchenko, Maldini, mzee wa miwani, Del Piero, Cannavaro, Nesta, bila kumsahau Filippo Inzaghi aka the arch-poacher aka Mr Champions League na hat-tricks zake 10.

Hii Napoli ya Rafa Benitez siyo ile ya kina Maradona.

It is disappointing in the last 8 hakuna timu toka Serie A. But I will miss Pirlo in the World Cup. I hope he will make it.
 
mkuu huko unavuka mipaka sasa...
We zungumzia soka lako la usajili tu, ila tukiingia kwenye timu ya taifa mtatukamatia nusu fainali ama fainali na kombe juu.

Sizani Mkuu! Kwasababu Mwaka 2006 Italy walikua na kizazi cha mpira kizuri kabisa kilichoa Kua Pamoja Kwa Muda mrefu sn tofauti na sasa!
 
ndio maana nikakuita pweza!liangalie kwanza!umeniudhi kweli leo!

teh teh teh sisi tulitaka heshima tu ndugu yangu. Tayari mmeonja uchungu wa kufungwa, magazeti ya italia yatawaandika vibaya. shifta kama utapita hapa, tuwekee nini Tutto sports, Corierro del cera, la repablica na magazeti mengine yanasemaje kuhusu huu mpambano wa jana usiku.

Mkuu Mourinho pic tafadhali.
 
Last edited by a moderator:
Poleni sana Bioncaneri,Llorente akicheza bila Tevez anakuwa kama sanamu tu.Nimeangalia game ya jana Juve walikuwa wako slow utadhani wanacheza preseason
Nina wasiwasi kama mnaweza kuchukua Uropa mkikutana na timu inayocheza mpira wa kasi mnapata tabu sana
 
mkuu Belo Juve imekuwa mhanga wa majeruhi kwa karibuni 2 months sasa na kucheza vibaya hatujaanza jana,karibu mwezi mmoja na nusu perfomance mbovu na hasa defence.Pale nyuma kuna beki zetu nzuri kwa one on one situation hazipo.Barzagli na Ogbonna wameumia.Ukitazama goli zote zilitokana na uzembe wa kuzuia krossi mahala ilipokuwa inawezekana,na one on one situation(goli la pili ilikuwa mabeki 2 kwa mtu mmoja na bado walishindwa kumzuia).Marchisio ndio amerudi toka majeruhi ya muda mrefu,Giovinco mgonjwa,Vucinic ndio ameingia uwanjani jana baada ya miezi 2 nje ya uwanja,Tevez alikuwa suspended,kwa muda wa mwezi mzima tumekuwa na mechi 3 kwa wiki,halafu wachezaji ni wale wale wanaocheza kila siku sababu ya majeruhi,ukiwatazama Llorente,Vidal,Pogba,Bonucci,Chiellini unaona uchovu usoni mwao,na hawa na wale walioumia ni key players kwenye timu.Angalia goli la pili,hakukuwa na beki hata mmoja nyuma,yule dogo alikabwa na viungo akina Marchisio na ndio maana pamoja na kuwa wawili bado walishindwa kumzuia.Mabeki walichelewa kushuka wakitegemea Marchisio akabe matokeo ndo yale.Hii yote ni lack of concentration due to tiredness!tunahitaji kusajili wachezaji wazuri wa akiba ambao tunaweza kuwaamini pale akina Tevez wanapokosekana.Ndio hii tunaita "ukubwa wa kikosi".na ukigusa ukubwa wa kikosi unazungumzia "noti" mjomba,noti ambazo zinakuja zenyewe taratibu,huwezi kuforce zije haraka!
 
haya shikamoo Benitez!
 
Sizani Mkuu! Kwasababu Mwaka 2006 Italy walikua na kizazi cha mpira kizuri kabisa kilichoa Kua Pamoja Kwa Muda mrefu sn tofauti na sasa!

mmh!mkuu Italia kama national team huwa hawatabiriki kaka,wanaweza kuwa na kikosi cha kawaida na wakaishangaza dunia!Siku zote Italia na Ujerumani hazitabiriki kwenye national team.
 
Sorry, Mkuu nimepoteza interests kidogo na Serie A. Serie A siyo kama ilivyokuwa zamani.

Imekuwa ligi ya wachezaji wa kigeni kwenda ku-retire kule.

Nakumbuka enzi za akina Maradona, George Weah, Shevchenko, Maldini, mzee wa miwani, Del Piero, Cannavaro, Nesta, bila kumsahau Filippo Inzaghi aka the arch-poacher aka Mr Champions League na hat-tricks zake 10.

Hii Napoli ya Rafa Benitez siyo ile ya kina Maradona.

It is disappointing in the last 8 hakuna timu toka Serie A. But I will miss Pirlo in the World Cup. I hope he will make it.

Haya bhana!wewe EMT utakuwa shabiki wa Inter ndio maana umepoteza ladha na serie a kabisa teh teh!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom