Juventus Special Thread

Juventus Special Thread

Kama Maldin mwenye timu yake ameshaikatia tamaa nashangaa kwa nini Shifta mpaka leo bado yupo Milan tu anaumiza roho, namkaribisha Bernabeu upepo wa bahari unapovuma akonge nyoyo.
 
Kama Maldin mwenye timu yake ameshaikatia tamaa nashangaa kwa nini Shifta mpaka leo bado yupo Milan tu anaumiza roho, namkaribisha Bernabeu upepo wa bahari unapovuma akonge nyoyo.

Shifta ashasema Sedorf anairudisha milan ile ya 1989...Jamaa ana matumaini kuliko hata mmiliki wa timu...teh teh
 
Mourinho Nipe tathmini ya mchezo wa leo...

Mkuu nisamehe kwa kuchelewa kujibu, ni mechi ngumu kwa team zote lakini hasa kwetu kwa sababu presha ya kushinda mchezo ipo kwetu, lakini kitakachoamua sana matokeo ni nani wataanza kwenye first eleven, kama tutaanza na our regulars basi hawa Viola watakaa tu bila shaka
 
KWANINI JUVENTUS INASHINDWA KUFANYA VIZURI ULAYA?

The Bianconeri boss is on the verge of a third straight Scudetto, but continues to struggle in continental club competition. So what is the problem?

When Antonio Conte was appointed as the coach of Juventus in May 2011, the Bianconeri were at rock-bottom. Italy’s most successful domestic club had just limped to a second straight seventh-place finish with a squad featuring Armand Traore, Leandro Rinaudo and Jorge Martinez.

Having been crippled by the Calciopoli-enforced relegation to Serie B in 2006, there were serious concerns whether the Old Lady would ever be restored to her former beauty. But the instant transformation brought about by Conte was extraordinary. In his competitive debut on the bench, the Bianconeri thrashed Parma 4-1 at the new Juventus Stadium — overwhelming their opponents with relentless pressing and a modern, high-tempo style that would become the coach’s trademark.

It was immediately clear that the Old Lady had indeed been reborn — and it was all thanks to one man. The coach had mentally transformed Juve into a team of warriors, built in the image of Conte the player but supplemented by the extra quality of an Andrea Pirlo or Alessandro Del Piero.

Juve’s subsequent results in Serie A have been statistically comparable to almost any Italian side in history. The club strolled to the 2011-12 Scudetto without losing a game, becoming the first to do so in a 38-game season. The unbeaten run eventually lasted for 49 matches, allowing Juve to comfortably retain the title the following season. This campaign, Juventus continues to obliterate the rest of the field. In 28 Serie A matches, the club has won 24 and lost just once. Only Bayern boasts superior statistics from Europe’s major leagues in 2013-14. With a 14-point lead over Roma, a hat trick of Scudetti is inevitable.

3-5-2 The coach’s favorite formation that has failed to convince in Europe.
But for all his domestic dominance, Conte has so far failed to crack the European scene. In two seasons of Champions League football, Juventus’ record is 6-5-6. This season the team was humiliatingly, if somewhat unfortunately, eliminated in the group stage despite being drawn in a negotiable pool with Copenhagen and a crisis-hit Galatasaray. Under Conte, Juve has won just one of its last eight Champions League games. The 1-1 home draw with Fiorentina in its Europa League last-16 tie a week ago only further underlined Conte’s struggles in Europe.

So what is the problem?

First of all, it is important to recognize that the dynamic of cup soccer is very different to league soccer. Over a long, grueling league season, in a survival of the fittest-type environment, the strongest and deepest squad is usually the best placed to win the championship.

That is not to say that there aren’t many other important factors, but in continental and international play — where there are contrasting styles, knockout matches and tournament variables such as away goals — tactics and strategy take on an added importance. Some coaches are just far more suited to league soccer — the single-minded Fabio Capello being one such man. Others, who snub tactics, like Arsene Wenger have also underperformed. This is an area where Conte has undoubtedly failed over the past 18 months.

Leading 1-0 at home against Fiorentina with 15 minutes to ago — and in total control — Conte inexplicably removed an attacker, Pablo Osvaldo, for a midfielder, Paul Pogba. Had Juventus been suffering, this substitution would have been understandable. Instead, Fiorentina was handed the initiative and equalized through Mario Gomez. Tactically, Conte got it all wrong and his reaction to conceding this vital away goal was even more bizarre — using up his final substitution by introducing defensive midfielder Simone Padoin for attacking wingback Mauricio Isla.

Conte is well known for his meticulous preparation before matches, but making proactive and reactive changes during games is equally important in tournaments. During the 4-0 aggregate defeat to Bayern Munich in the Champions League quarterfinals last year, Conte was far too slow with his substitutions. In the first leg he waited until the second goal in the 64th minute before replacing the completely ineffective strike duo of Fabio Quagliarella and Alessandro Matri. In the return match in Turin, Conte again failed to make a change until Mario Mandzukic had killed off the tie midway through the second half.

These Bayern and Fiorentina clashes, like so many others in Europe, illustrate that Conte has either been too tardy in altering his tactics and personnel or he has made the wrong changes.

Or, as is the case with his regular formation, Conte has failed to make a change altogether. Over the last two seasons, Conte has stuck religiously to his 3-5-2 system. But the formation is not suitable to succeeding in Europe. It is predictable and susceptible to width and pressing.

Maurizio Pistocchi, one of Italy's most controversial soccer personalities, blasted on Mediaset Premium TV after the fatal 1-0 loss to Galatasaray: "Conte must abandon the three-man defense. It's not acceptable to concede a goal with five minutes to go like the one in Istanbul — a 40-meter pass, with three men marking Didier Drogba and no one taking care of Wesley Sneijder. The 3-5-2 only wins in Italy."

On just two European occasions has Conte strayed from the 3-5-2 — in the double-header versus Real Madrid. With a four-man backline, Juve played its best two Champions League matches of the last year and deserved far more than the one point it obtained. In Conte’s defense, it seems he has finally recognized the need to switch to a 4-3-3 and will use the summer transfer market to do so.

But the 4-3-3 will only help if Conte learns to rotate his squad better. Heavily criticized for leaving out key players versus Fiorentina, the Italian responded by stressing that “a third Scudetto is my priority.” That excuse doesn’t wash when it comes to the Champions League, a competition where Conte has regularly fielded almost identical XIs just days after Serie A matches.

In time, Conte’s management of resources will surely improve. When it comes to tactics, though, this is something that generally cannot be taught in soccer. All the coaching courses and experience in the world will not create a master tactician. It has to come from within.

It is still too early to write Conte off in this regard. Gianluigi Buffon has described Conte as "the best coach I've worked with" — and he has worked with Marcello Lippi, Carlo Ancelotti and Giovanni Trapattoni — while Pirlo has labeled his boss as a "genius" and compared him to Arrigo Sacchi. These words certainly count for something and one must remember that this is only Conte's second season in European competition and — as he recently reminded Pep Guardiola — his financial budget pales in comparison to the likes of Bayern Munich, Real Madrid, Barcelona and PSG.

Nevertheless, there is no doubt that the jury is out on Conte’s European credentials. Juventus is far too talented a squad to have performed this poorly outside Italy. A victory against Fiorentina on Thursday will go a long way to convincing the doubters.
Follow GOAL.COM on
 
Naam kama matarajio ya wengi, Conte kaanzisha a strong squad baada ya kulalamikiwa sana week jana kwamba aliacha wachezaji wengi wazuri bench

Pogba, Tevez, Llorente wote wameanza leo
 
Naam kama matarajio ya wengi, Conte kaanzisha a strong squad baada ya kulalamikiwa sana week jana kwamba aliacha wachezaji wengi wazuri bench

Pogba, Tevez, Llorente wote wameanza leo

Viola wako vizuri mkizubaa mnatolewa leo
Fiorentina 0 Juventus 0
Half time
 
Viola wako vizuri mkizubaa mnatolewa leo
Fiorentina 0 Juventus 0
Half time

Haswaa ila nadhani umeona tunavyotawala mchezo kila muda unavyokwenda.

Only if Conte angeanza na Lichtsteiner badala ya Isla kule kulia tungekua na nafasi zaidi
 
Jamani mbona mnajifanya kama hamjamuona pass master, the master tactician Andrea Pirlo akifunga bao safi kabisa la free-kick?

Eti Belo na pachanya vipi? Na we Ziroseventytwo uko wapi leo? kama uko na rafiki zako juve2012 na shifta waambie Mourinho anawapa hi tu
 
Last edited by a moderator:
Sasa naomba mkutane na mziki wa Benfica nione Mpo Serious na kombe hili?
 
Sasa naomba mkutane na mziki wa Benfica nione Mpo Serious na kombe hili?

Benfica watapata wakati mgumu kwa Juve kwa sababu ni timu kali.Kama nilivyosema wiki jana,Juve huwa wazuri zaidi kwenye mechi ngumu ila mechi rahisi ndio mtego kwao.Hata hivyo inategemea na stage mashindano yalipo.Nilisema kwamba tuna uwezekano wa kushinda Florence kwa vile tulikuwa tuna wakati mgumu(kutoa sare nyumbani).Nadhani umeona mwenyewe.Na kumfunga Fiorentina pale kwake usifikiri ni jambo rahisi.Kwa hiyo hii timu ya Juve ina tatizo la saikolojia inayofanya game approach yao kuwa haitabiriki.Sasa Benfica ni timu nzuri,approach itakuwa positive.Na huku kwenye advanced stages huenda ukaiona Juve nyingine kabisa ikagalagaza watu hadi ukashangaa.Hili ndilo somo Juve wanahitaji.Wacheze hizi mechi hadi watune akili zao kwenye right mentality in every game,ngumu na rahisi.!uuupf!ntapumua sasa!hawa Fiorentina sina hamu nao msimu huu.Forza la vechia signora!
 
Naam!@Mourinho nimesoma hiyo makala hapo juu,hilo la Conte kuwa mgumu wa kubadili tactics na sub limenigusa zaidi.Nakumbuka tatizo hili alikuwa nalo hata kwa Del Piero.Ndio maana nasema,tucheze mechi hizi za UEFA.Anayo mengi ya kujifunza lakini si kocha mbaya kwa kweli.Cha msingi akubali makosa.Hapo mwisho jamaa anasema Juve wana kikosi kizuri sana kiasi kwamba hawakustahili kupata matokeo mabovu hivyo ulaya.Ndio maana nilikuwa nasema,Juve hawezi kutumia hali ya serie a kama excuse ya kufanya vibaya hivi ulaya.bado kikosi na resources zilizopo zinawawezesha kuwa wazuri ulaya.na zile mechi alizoharibu ukizitathmini,utakuta ni upuuzi wa hali ya juu ambao huwezi kusingizia kiwango cha serie a.Nikikumbuka mechi ya pili ile fyongo ya Bonucci dhidi ya Galatasaray..na lile goli la pili ndio madhara ya beki 3,sijui unalikumbuka mkuu?
 
Mkuu wangu juve2012 naikumbuka vizuri ile fyongo ya Bonucci.

Hiyo makala ilinifanya nifanye tafakuri sana jana usiku, nikaona tuna uhaba wa wachezaji wa aina mbili ktk kikosi chetu. Hatuna a natural holding midfielder toka tumuuze Mello, hiyo namba anacheza Pirlo siku hizi wakati tunajua Pirlo ni midfield general (no.8) ndio maana Bonucci huwa anachezeshwa katikati ya zile beki tatu za nyuma kwa sababu anauwezo wa kukokota na kutoa pasi/kuanzisha mashambulizi.

Pili, sisi hatuna play maker(no.10) or else mmoja kati ya Vidal au Pogba a-assume hiyo role.

Binafsi ningependa team icheze 4-1-2-3, kwenye hiyo back four wawepo Lichtsteiner, Bonucci, Barzagli/Chiellini na Asamoah, holding anunuliwe au kwa sasa Pirlo, mbele yake Vidal na Pogba, hao watatu wa mwisho tunahitaji a no.10(Ilkay Gundogan) awachezeshe Tevez na Llorent. Au tunawesa nunua kiungo mkabaji, akacheza na Pogba halafu Vidal tukamtumia kama no.10

Kwa hiyo ni muhimu sana tuchukue haya makombe mawili Scudeto na Europa ili tumpe Conte pesa ya kusajili wachezaji hata wawili.

Hivi Mkuu kwa nini Giaccherini aliuzwa? Tunaweza kumrejesha? Ni no.10 mzuri sana na anaweza hata kucheza akitokea pembeni, angetusaidia sana kwenye kubadili huu mfumo
 
Last edited by a moderator:
Mkuu wangu juve2012 naikumbuka vizuri ile fyongo ya Bonucci.

Hiyo makala ilinifanya nifanye tafakuri sana jana usiku, nikaona tuna uhaba wa wachezaji wa aina mbili ktk kikosi chetu. Hatuna a natural holding midfielder toka tumuuze Mello, hiyo namba anacheza Pirlo siku hizi wakati tunajua Pirlo ni midfield general (no.8) ndio maana Bonucci huwa anachezeshwa katikati ya zile beki tatu za nyuma kwa sababu anauwezo wa kukokota na kutoa pasi/kuanzisha mashambulizi.

Pili, sisi hatuna play maker(no.10) or else mmoja kati ya Vidal au Pogba a-assume hiyo role.

Binafsi ningependa team icheze 4-1-2-3, kwenye hiyo back four wawepo Lichtsteiner, Bonucci, Barzagli/Chiellini na Asamoah, holding anunuliwe au kwa sasa Pirlo, mbele yake Vidal na Pogba, hao watatu wa mwisho tunahitaji a no.10(Ilkay Gundogan) awachezeshe Tevez na Llorent. Au tunawesa nunua kiungo mkabaji, akacheza na Pogba halafu Vidal tukamtumia kama no.10

Kwa hiyo ni muhimu sana tuchukue haya makombe mawili Scudeto na Europa ili tumpe Conte pesa ya kusajili wachezaji hata wawili.

Hivi Mkuu kwa nini Giaccherini aliuzwa? Tunaweza kumrejesha? Ni no.10 mzuri sana na anaweza hata kucheza akitokea pembeni, angetusaidia sana kwenye kubadili huu mfumo

mkuu hata mie najiuliza Giacherini walimuuza kwa nini wakati role yake hakuna wa kuicheza!hivi Pepe yuko wapi?yule nae alikuwa na uwezo huo nadhani sema mwaka mzima majeruhi!nakubaliana na wewe,UEFA ni muhimu kwetu.Conte atazame na financial advantages vile vile,asing'ang'anie serie a tu!suala la kubadili mfumo ni "given data"!haina mjadala
 
Last edited by a moderator:
mkuu hata mie najiuliza Giacherini walimuuza kwa nini wakati role yake hakuna wa kuicheza!hivi Pepe yuko wapi?yule nae alikuwa na uwezo huo nadhani sema mwaka mzima majeruhi!nakubaliana na wewe,UEFA ni muhimu kwetu.Conte atazame na financial advantages vile vile,asing'ang'anie serie a tu!suala la kubadili mfumo ni "given data"!haina mjadala

Halafu ambacho huwa kinaniuma sana ni kuwa dogo anasugua bench kule Sunderland, hebu ongea na jamaa zako wamrudishe kijana.
Pepe ni injury prone Mkuu, me nishamwrite off.

Kubadili mfumo halina mjadala, swala ni kuwa tunatoka 3-5-2 kwenda wapi? 4-2-3-1? 4-3-3? 4-1-2-3? au Conte atatunga mfumo wake? maana tunaambiwa na Pirlo na Buffoni kwamba the guy is genius
 
Ciro na Nedved ndani ya nyumba kwenye draw ya robo fainali ya Europa
 
Back
Top Bottom