Mourinho
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 4,619
- 2,327
Leo Sijui Fiorentina watajitutumua wapate Ushindi??
Juve michuano hii sio yao labda kule Scudetto...
Hahahahahahahahaaaa, endelea kutuombea njaa ila kumbuka tu, mwisho wa ubaya ni aibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo Sijui Fiorentina watajitutumua wapate Ushindi??
Juve michuano hii sio yao labda kule Scudetto...
Hahahahahahahahaaaa, endelea kutuombea njaa ila kumbuka tu, mwisho wa ubaya ni aibu
Sema mtashinda tu...
Leo Sijui Fiorentina watajitutumua wapate Ushindi??
Juve michuano hii sio yao labda kule Scudetto...
Sema mtashinda tu...
Naona cha nguruwe kimewatosha, muda wa mabingwa ndio sasa
Forza Bianconeri
mkuu Mourinho salute! Mimi nipo. Naona Vidal tayari kashaanza mambo yake. Juve 1 fiorentina 0.Nipo goal.com,game leo sijaangalia. Napoli tumetandikwa 1 na porto. Tunawasubiri san paulo ndo watajua cc ni nani!
Ohooooo
Ohooooo
matokeo ya jana c mazuri kwenu. Game ya marudiano jamaa wanahitaji sare tu. Mpaka hapo fiorentina wana % 90 kusonga mbele. Mpaka sasa mna uhakika na scudetto tu.
mwenzio kuna wakati nakaa kimya kwa vile naijua weakness yetu ilipo.Weakness ya Juve msimu huu ni Fiorentina.Pia mechi za mtoano zinatusumbua.Ya tatu ni ile aliyoisema Conte jana,kwamba angependa Juve isitangulie kuongoza mechi manake kila siku anagombana na wachezaji tabia ya kuridhika na 1-0 lakini bado wanaendelea na utamaduni huo,so bora wasitangulie ili wakaze hadi mwisho washinde mechi.Ni saikolojia inawasumbua.Vidal kachukia sana kwa draw ya jana.Anadai wamecheza vibaya.Ilibidi Buffon amtulize kwa hasira alizokuwa nazo jana.Na wachezaji wa aina hii wenye njaa ya ushindi ndio siku zote ni match winners ndio maana Vidal anatubeba sana Juve.Bora twende Florence kama underdogs manake wale vichwa maji wetu watacheza soka sasa!ndio haya nilikuwa naongea kuwa Juve have a lot to learn from europa league.Ving'ang'anizi wenyewe ndio kama hawa akina Fiorentina,Valencia,Totenham,Napoli,Lyon,Porto,Zenit,Plazen e.t.c Juve inasifiwa sana lakini as a football club bado ni mwanafunzi.After calciopoli,mambo mengi yamebadilika klabuni,watu wengi wapya,so wanajifunza si kushinda tu,bali "kuendelea" kushinda.Huu ndio mtihani mgumu..maintaining your best perfomance!Ni Juve hii hii iliyomfunga Chelsea 3 mwaka jana,leo hali ngumu kwa F.c copenhagen!we have to learn to be consistent.Hawa Fiorentina wanatusumbua sana tu mwaka huu.tulitangulia 2-0 wakaja kutupiga 4,wiki jana tukawapiga 1 lakini almanusra warudishe dk za mwisho,jana ikawa hivyo tena,wakasawazisha,mechi zetu zote na hawa jamaa tunakuwa na hali ngumu kuanzia dk ya 70.Huenda wanaanza taratibu ili baadae watushambulie sana baada ya kuujua udhaifu huu.Kuna tatizo kwa Juve wanapotangulia kufunga,wanajiachia sana,mpira huu ukikutana na zile timu regulars za champions league lazima uondoke na aibu ya mwaka(kama ya Milan kwa Atletico).Bora tujifunze huku chini.
Conte anakuambia kwa saikolojia ya wachezaji wake inavyoharibika pale wanapotangulia kushinda,bora tu wametoka draw ili waende Florence kwa hali ngumu,huenda ndio watashinda!
matokeo ya jana c mazuri kwenu. Game ya marudiano jamaa wanahitaji sare tu. Mpaka hapo fiorentina wana % 90 kusonga mbele. Mpaka sasa mna uhakika na scudetto tu.
Mkuu kwa kikosi kilichoanza jana sidhani kama performance ilikua mbaya sana, hatukuanza na first eleven yetu ya kila siku, Tevez, Llorente, Pogba, Bonucci, Barzagli, Lichtsteiner wote hawakuanza na hata Conte anasema performance ya jana ilikua nzuri kuliko ya jumapili na hatukua na bahati ukiangalia ni mara ngapi tulipiga miamba
Me nadhani bado tuna nafasi ya kusonga mbele hasa kama mechi ya marudiano tutachezesha first eleven yetu ya kila siku
Makombe haya yanawafaa timu za Italy ,nashangaa AC Milan walijifanya kuenda kupambana na miamba ucl eti kisa wanajivunia rekodi,haya jukwaa lenu kina Juve02 na Mourinho,UCL inawafaa waspain ambao mpk sasa hivi wameshaingiza 2 robo fainali tunasubiri Real Madrid pale bernabeu ambae anapambana kuzuia kufungwa mabao zaidi ya mabao 0-6,1-7,2-8,ndipo atolewe.