Juventus Special Thread

Juventus Special Thread

Naona cha nguruwe kimewatosha, muda wa mabingwa ndio sasa

Forza Bianconeri

mkuu Mourinho salute! Mimi nipo. Naona Vidal tayari kashaanza mambo yake. Juve 1 fiorentina 0.Nipo goal.com,game leo sijaangalia. Napoli tumetandikwa 1 na porto. Tunawasubiri san paulo ndo watajua cc ni nani!
 
Last edited by a moderator:

Me nipo nawaangalia Bianconeri hapa, match yenu hamkucheza vibaya, mlianza kipindi cha pili vizuri sana, kipa wa Porto aliwaokoa sana ndugu zake
 
Last edited by a moderator:

mwenzio kuna wakati nakaa kimya kwa vile naijua weakness yetu ilipo.Weakness ya Juve msimu huu ni Fiorentina.Pia mechi za mtoano zinatusumbua.Ya tatu ni ile aliyoisema Conte jana,kwamba angependa Juve isitangulie kuongoza mechi manake kila siku anagombana na wachezaji tabia ya kuridhika na 1-0 lakini bado wanaendelea na utamaduni huo,so bora wasitangulie ili wakaze hadi mwisho washinde mechi.Ni saikolojia inawasumbua.Vidal kachukia sana kwa draw ya jana.Anadai wamecheza vibaya.Ilibidi Buffon amtulize kwa hasira alizokuwa nazo jana.Na wachezaji wa aina hii wenye njaa ya ushindi ndio siku zote ni match winners ndio maana Vidal anatubeba sana Juve.Bora twende Florence kama underdogs manake wale vichwa maji wetu watacheza soka sasa!ndio haya nilikuwa naongea kuwa Juve have a lot to learn from europa league.Ving'ang'anizi wenyewe ndio kama hawa akina Fiorentina,Valencia,Totenham,Napoli,Lyon,Porto,Zenit,Plazen e.t.c Juve inasifiwa sana lakini as a football club bado ni mwanafunzi.After calciopoli,mambo mengi yamebadilika klabuni,watu wengi wapya,so wanajifunza si kushinda tu,bali "kuendelea" kushinda.Huu ndio mtihani mgumu..maintaining your best perfomance!Ni Juve hii hii iliyomfunga Chelsea 3 mwaka jana,leo hali ngumu kwa F.c copenhagen!we have to learn to be consistent.Hawa Fiorentina wanatusumbua sana tu mwaka huu.tulitangulia 2-0 wakaja kutupiga 4,wiki jana tukawapiga 1 lakini almanusra warudishe dk za mwisho,jana ikawa hivyo tena,wakasawazisha,mechi zetu zote na hawa jamaa tunakuwa na hali ngumu kuanzia dk ya 70.Huenda wanaanza taratibu ili baadae watushambulie sana baada ya kuujua udhaifu huu.Kuna tatizo kwa Juve wanapotangulia kufunga,wanajiachia sana,mpira huu ukikutana na zile timu regulars za champions league lazima uondoke na aibu ya mwaka(kama ya Milan kwa Atletico).Bora tujifunze huku chini.
 
matokeo ya jana c mazuri kwenu. Game ya marudiano jamaa wanahitaji sare tu. Mpaka hapo fiorentina wana % 90 kusonga mbele. Mpaka sasa mna uhakika na scudetto tu.

Conte anakuambia kwa saikolojia ya wachezaji wake inavyoharibika pale wanapotangulia kushinda,bora tu wametoka draw ili waende Florence kwa hali ngumu,huenda ndio watashinda!
 
Mkuu kwa kikosi kilichoanza jana sidhani kama performance ilikua mbaya sana, hatukuanza na first eleven yetu ya kila siku, Tevez, Llorente, Pogba, Bonucci, Barzagli, Lichtsteiner wote hawakuanza na hata Conte anasema performance ya jana ilikua nzuri kuliko ya jumapili na hatukua na bahati ukiangalia ni mara ngapi tulipiga miamba

Me nadhani bado tuna nafasi ya kusonga mbele hasa kama mechi ya marudiano tutachezesha first eleven yetu ya kila siku
 
Conte: "In all honesty, I preferred this performance to Sunday's," Conte said. "Of course when you concede a goal it's hard to justify, but I feel the team created many chances, hitting the bar as well and probably expressed better football than we saw on Sunday.

"When you concede a goal there are always situations to analyse and corrections to be found. We lost the ball in midfield and this through ball took us by surprise, then Gomez did very well to control and beat Buffon as he came out."

"Optimistic? I am always optimistic," he said. "It's a football match, we play to win and we have won a lot, but it's fair to draw against Fiorentina, as they are a strong side. I do feel we were a little unlucky tonight, as we could've scored more."

"Maybe we shouldn't take the lead! On a psychological level teams have a different approach, maybe subconsciously, when going in front early on. We have gone in front in every game with Fiorentina this season," Conte said.

"The 4-2 defeat was strange, as they scored four in 20 minutes. It's true on Sunday Fiorentina pushed hard in the final stages, but I felt it was a deserved victory.

"If we look at the chances created tonight, then I'd say we were a little unlucky to draw. It was a good performance from both Juventus and Fiorentina, so I don't see why we should praise one side to the detriment of another.

"It was a great game and a fine advert for Italian football in Europe. I imagine those watching enjoyed the spectacle."
 
matokeo ya jana c mazuri kwenu. Game ya marudiano jamaa wanahitaji sare tu. Mpaka hapo fiorentina wana % 90 kusonga mbele. Mpaka sasa mna uhakika na scudetto tu.

Kwanini unawapa Viola 90%? Unajua baada ya hiyo match hao Viola watakua na safari ya Napoli? Ila sisi baada ya hiyo tuna Chievo, sasa unaweza kufanya mahesabu kwamba nani ataingia uwanjani kutafuta ushindi kwa gharama zote kati yetu na Viola, halafu jana wachezaji sita wa first eleven walianzia bench
 
Makombe haya yanawafaa timu za Italy ,nashangaa AC Milan walijifanya kuenda kupambana na miamba ucl eti kisa wanajivunia rekodi,haya jukwaa lenu kina Juve02 na Mourinho,UCL inawafaa waspain ambao mpk sasa hivi wameshaingiza 2 robo fainali tunasubiri Real Madrid pale bernabeu ambae anapambana kuzuia kufungwa mabao zaidi ya mabao 0-6,1-7,2-8,ndipo atolewe.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kwa kikosi kilichoanza jana sidhani kama performance ilikua mbaya sana, hatukuanza na first eleven yetu ya kila siku, Tevez, Llorente, Pogba, Bonucci, Barzagli, Lichtsteiner wote hawakuanza na hata Conte anasema performance ya jana ilikua nzuri kuliko ya jumapili na hatukua na bahati ukiangalia ni mara ngapi tulipiga miamba

Me nadhani bado tuna nafasi ya kusonga mbele hasa kama mechi ya marudiano tutachezesha first eleven yetu ya kila siku

mh!mkuu kwa kikosi kile kuna excuse kweli pale?what about hizi mechi zote tulizocheza na Fiorentina msimu huu?mie naona alikosekana Tevez tu hapo lakini hawa wengine mbona ni regular players wa squad rotation iliyopo?Ogbonna,Isla,Marchisio,Giovinco,nawaona sana viwanjani!na huyu Conte anasema perfomance ilikuwa nzuri IN COMPARISON na ile ya jpili does not mean he is satisfied with overall perfomance,by the way,ni akina nani walicheza jpili na kwa nini hapo hapo anasema "maybe we should not take the lead"?na baadae anasema "we went infront in all matches against Fiorentina",connect dots hapo mkuu,unganisha na hali halisi na matokeo unayoona against Fiorentina,uwanjani,there is a message from the Coach!Anyway,whatever the case i agree kwamba huenda tukafanya vizuri next match,ila sababu yangu si kwamba tutakuwa na Lichsteiner and co uwanjani,bali kwa sababu tutakuwa na hali ngumu!This Juve has a psychological problem when going infront,i agree with Conte.
 
Makombe haya yanawafaa timu za Italy ,nashangaa AC Milan walijifanya kuenda kupambana na miamba ucl eti kisa wanajivunia rekodi,haya jukwaa lenu kina Juve02 na Mourinho,UCL inawafaa waspain ambao mpk sasa hivi wameshaingiza 2 robo fainali tunasubiri Real Madrid pale bernabeu ambae anapambana kuzuia kufungwa mabao zaidi ya mabao 0-6,1-7,2-8,ndipo atolewe.

sawa mkuu.Mwaka wako huu.Ila hii Barca yako haibebi ndoo mwaka huu.
 
Last edited by a moderator:
Makombe haya yanawafaa timu za Italy ,nashangaa AC Milan walijifanya kuenda kupambana na miamba ucl eti kisa wanajivunia rekodi,haya jukwaa lenu kina Juve02 na Mourinho,UCL inawafaa waspain ambao mpk sasa hivi wameshaingiza 2 robo fainali tunasubiri Real Madrid pale bernabeu ambae anapambana kuzuia kufungwa mabao zaidi ya mabao 0-6,1-7,2-8,ndipo atolewe.

wewe ni waziri usie na wizara maalum...
Yaani majukwaa ya wataliano ndio yamekuwa nyumba unayolala na kushinda...dah
 
Last edited by a moderator:
Maldini: Balotelli would do better at Juventus

Milan legend Paolo Maldini says he believes Mario Balotelli would be putting in better performances if he played for Juventus.

The 23-year-old has been heavily criticised recently but the Rossoneri legend blames a lack of long-term strategy and infrastructure at San Siro as the main factor behind his sub-par displays.

“Balotelli is still not a champion,” Maldini said in part of an in depth interview with Gazzetta dello Sport.

“It is the same with Pato. Until the day they manage to carry the team on their shoulders for the full 90 minutes that will remain the same.

“I don’t know for sure, but I have the impression that if Balotelli went to Juve, a team with clear ideas, a great Coach and a core group of Italian players his game would go up another level.

“Because of this I believe it’s wrong to put all the blame on his shoulders.

“He is not the saviour of the country.

“The league table reflects how good performances have been.

“I haven’t spoken to anyone about the current problems and I don’t listen much to rumours but the team is going through a strange situation.

“The group is clearly not happy and there is an anxiety about them.

“The performances are then affected by this and there are other players who are less involved in things because maybe they already know they will be leaving.

The 45-year-old was then asked about how long it would take to make Milan competitive once more.

“It depends on their targets,” he said. “I don’t think the fans just want a winning Milan.

“They want to see a project going on as well.”
shifta
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom