Salam wakuu! Leo kuna ule mpambano wa kufa m2 kati ya machampions 2 b Juventus Turin dhidi ya mabingwa wa copa italia watarajiwa yaani club iliyowahi kuchezewa na mchezaji bora kabisa hapa dunia yaani Diego Maradona hapa namaanisha S S Napoli.
Leo Napoli hawana cha kupoteza bali kulinda heshima, na kuendelea kujikita kwenye nafasi ya 3 kwenye msimamo wa ligi. Game itaanza saa 4:45 usiku huu kwa saa za kibongo. Tukutane pale estadio st paul mjini nepol.
shifta, juve2012, obwato, Mourinho, pachanya, Viper, EMT tusikose.
Jamani leo naona Juve anashinda
Jamani leo naona Juve anashinda
kaka, hii game ngumu. Nakuhakikishia juve leo anaenda kuonja joto ya jiwe. Wanalimwa 2-0 nao waonje uchungu wa kufungwa.
Half time tushakufa kimoko!kule mbavu ya kulia Insigne anatamba tuu,sijui vipi,wasipomkaba huyu na Hamsik utakuwa utata.
dah! Tanesco wamenitoa kwenye game, wamekata umeme ila na mvua nayo inanyesha kubwa. Nafuatilia kupitia goal.com. Bado 1. 2-0 lazima
Pole sana, mpaka umeme urudi huko kwako Juventus tutakua tunaongoza 2-1
dah! Tanesco wamenitoa kwenye game, wamekata umeme ila na mvua nayo inanyesha kubwa. Nafuatilia kupitia goal.com. Bado 1. 2-0 lazima
Salam wakuu! Leo kuna ule mpambano wa kufa m2 kati ya machampions 2 b Juventus Turin dhidi ya mabingwa wa copa italia watarajiwa yaani club iliyowahi kuchezewa na mchezaji bora kabisa hapa dunia yaani Diego Maradona hapa namaanisha S S Napoli.
Leo Napoli hawana cha kupoteza bali kulinda heshima, na kuendelea kujikita kwenye nafasi ya 3 kwenye msimamo wa ligi. Game itaanza saa 4:45 usiku huu kwa saa za kibongo. Tukutane pale estadio st paul mjini nepol.
shifta, juve2012, obwato, Mourinho, pachanya, Viper, EMT tusikose.
mkuu huko unavuka mipaka sasa...
We zungumzia soka lako la usajili tu, ila tukiingia kwenye timu ya taifa mtatukamatia nusu fainali ama fainali na kombe juu.
ndio maana nikakuita pweza!liangalie kwanza!umeniudhi kweli leo!
Poleni sana Bioncaneri,Llorente akicheza bila Tevez anakuwa kama sanamu tu.Nimeangalia game ya jana Juve walikuwa wako slow utadhani wanacheza preseason
Nina wasiwasi kama mnaweza kuchukua Uropa mkikutana na timu inayocheza mpira wa kasi mnapata tabu sana

teh teh teh sisi tulitaka heshima tu ndugu yangu. Tayari mmeonja uchungu wa kufungwa, magazeti ya italia yatawaandika vibaya. shifta kama utapita hapa, tuwekee nini Tutto sports, Corierro del cera, la repablica na magazeti mengine yanasemaje kuhusu huu mpambano wa jana usiku.
Mkuu Mourinho pic tafadhali.
Sizani Mkuu! Kwasababu Mwaka 2006 Italy walikua na kizazi cha mpira kizuri kabisa kilichoa Kua Pamoja Kwa Muda mrefu sn tofauti na sasa!
Sorry, Mkuu nimepoteza interests kidogo na Serie A. Serie A siyo kama ilivyokuwa zamani.
Imekuwa ligi ya wachezaji wa kigeni kwenda ku-retire kule.
Nakumbuka enzi za akina Maradona, George Weah, Shevchenko, Maldini, mzee wa miwani, Del Piero, Cannavaro, Nesta, bila kumsahau Filippo Inzaghi aka the arch-poacher aka Mr Champions League na hat-tricks zake 10.
Hii Napoli ya Rafa Benitez siyo ile ya kina Maradona.
It is disappointing in the last 8 hakuna timu toka Serie A. But I will miss Pirlo in the World Cup. I hope he will make it.