mmh!mkuu Italia kama national team huwa hawatabiriki kaka,wanaweza kuwa na kikosi cha kawaida na wakaishangaza dunia!Siku zote Italia na Ujerumani hazitabiriki kwenye national team.
Nimeangalia highlights tumekosa sana magoli.mechi ilikuwa yetu hii kama tuko home bhana.wanakuja kufa Turin.sema wana majeruhi wengi sana lyon
Yah!tatizo la Europa,mechi kibao,bora Sie tulioporomoka toka mbinguni katikati ya msimuMechi ilikua yetu haswaa, wakija ghetto tutawafanya kitu mbaya kabisa. Ukiacha majeruhi wachezaji wa Lyon wana uchovu kwa sababu wamecheza mechi nyingi sana msimu huu
Yah!tatizo la Europa,mechi kibao,bora Sie tulioporomoka toka mbinguni katikati ya msimu
7bu yamefulia kama vilabu vya pombe za kienyeji,wewe ni waziri usie na wizara maalum...
Yaani majukwaa ya wataliano ndio yamekuwa nyumba unayolala na kushinda...dah
7bu yamefulia kama vilabu vya pombe za kienyeji,
7bu yamefulia kama vilabu vya pombe za kienyeji,
Genoa 1-2 Milan
1. Adel Taarabt
2. Keisuke Honda...
where are those haters whoe
talking
about the useless free transfers??
Hii ina maana kuwa Marek Jankulovski atakuwa kasimama sambamba na Krasic kuhakikisha hatembei kwa muda mwingi sana uwanjani.
7bu yamefulia kama vilabu vya pombe za kienyeji,
siku nyengine ubakize na ya akiba mkuu.
Wawili wawili ndo mwendo wa kandambili...
Mie out na wewe pia out.
Ha ha haa!.hu hu hii!kwi kwi kwii!mpe za uso huyo mhafidhina wa catalunya.Jana kapewa kichapo na mutoto mudoogo kabisa!