Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
mmh!mkuu Italia kama national team huwa hawatabiriki kaka,wanaweza kuwa na kikosi cha kawaida na wakaishangaza dunia!Siku zote Italia na Ujerumani hazitabiriki kwenye national team.
Mkuu nakubaliana wewe Lkn kile kizazi cha mpira imara cha Italy cha miaka ile ya 90 na 2006 km kimepungua nguvu vile! Kwahiyo ktk hii world cup Sizani km watakua vzr! Ila nawakubali Italy ktk kitu kimoja tu mkakati kila wanapopata nafasi!