Juventus Special Thread

Hawa wafaransa tutawapa mimba ya mapacha wanne

cc; shifta
 
Last edited by a moderator:
nipo home mkuu.naumizwa kichwa na hawa watoto walivyotukamata leo.wana mark vibaya.tuko very slow in building up na hapo ndipo Lyon wanacapitalize kutukaba.

Mlianza vizuri kama kawaida yenu...mkapata goli mnaanza kuzingua...
Watoto wakipata 1 hali itakuwa tata sana...
 
Game ishaisha hii tayari...
Naona mpo serious kweli na hili kombe...

pachanya wataliano tumekosa viungo wachezeshaji kama Pastore, David Silva, Lavezzi, Iniesta na jitu kama Rui Costa.
Hii mechi tumekosa mchezeshaji wa kuwalisha washambuliaji tu...
Pia huyu Vucinic majanga tu
 
Mlianza vizuri kama kawaida yenu...mkapata goli mnaanza kuzingua...
Watoto wakipata 1 hali itakuwa tata sana...

mkuu pachanya hicho usemacho ndicho kinaniumiza sana kichwa kwa Juve ya Conte.Hatuna haraka na ushindi!hatuko aggresive.we are so relaxed!tunaumizwa sana na timu zinazokaba.We are only capable of open play!
 
Last edited by a moderator:
mkuu pachanya hicho usemacho ndicho kinaniumiza sana kichwa kwa Juve ya Conte.Hatuna haraka na ushindi!hatuko aggresive.we are so relaxed!tunaumizwa sana na timu zinazokaba.We are only capable of open play!

Juve inabidi mkaze sana kama mwakani mnataka kukabiliana na akina Psg,Athletico kule UCL..hawa akina Lyon ni wa kuwafanyia mazoezi tu ya 4-0 au 5-1...
 
Last edited by a moderator:
pachanya wataliano tumekosa viungo wachezeshaji kama Pastore, David Silva, Lavezzi, Iniesta na jitu kama Rui Costa.
Hii mechi tumekosa mchezeshaji wa kuwalisha washambuliaji tu...
Pia huyu Vucinic majanga tu

Halafu hii Rotation ya Conte leo vp?? Llorente angekaa mbele pale na Tevez...
 
Juve inabidi mkaze sana kama mwakani mnataka kukabiliana na akina Psg,Athletico kule UCL..hawa akina Lyon ni wa kuwafanyia mazoezi tu ya 4-0 au 5-1...

hapana.hawa waliopo hawawezi.We need new signings!wala sijidanganyi mkuu,Juve hii bado sana hata tukishinda hii mechi.kujiangusha tuuu!
 
Mbona wamemnyima Tevez goli zuri hivi?ile ni offside kweli?Llorente kuingia tu,tayari mchakamchaka wa Tevez umeanza pale mbele.Lyon wana shughuli sasa!
 
pachanya wataliano tumekosa viungo wachezeshaji kama Pastore, David Silva, Lavezzi, Iniesta na jitu kama Rui Costa.
Hii mechi tumekosa mchezeshaji wa kuwalisha washambuliaji tu...
Pia huyu Vucinic majanga tu

Point muhimu sana hii na ndio kinachotutesa hapa, hatuna kiungo wa kupiga pasi za kupasua kuta ngumu.
juve2012 hatuna kikosi imara in terms of depth, kwa hiyo hawa wachezaji tulionao wanachoka sana lakini bado wanajitahidi. Haya mashindano yanachosha sana mkuu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…