Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Game ishaisha hii tayari...
Naona mpo serious kweli na hili kombe...
kaka tupo wote kaka...
Naifuatilia game hapa.
juve2012 unaangalizia wapi huu mtanange? Hivi pweza Ziroseventytwo kapotelea wapi?
nipo home mkuu.naumizwa kichwa na hawa watoto walivyotukamata leo.wana mark vibaya.tuko very slow in building up na hapo ndipo Lyon wanacapitalize kutukaba.
Game ishaisha hii tayari...
Naona mpo serious kweli na hili kombe...
Mlianza vizuri kama kawaida yenu...mkapata goli mnaanza kuzingua...
Watoto wakipata 1 hali itakuwa tata sana...
mkuu pachanya hicho usemacho ndicho kinaniumiza sana kichwa kwa Juve ya Conte.Hatuna haraka na ushindi!hatuko aggresive.we are so relaxed!tunaumizwa sana na timu zinazokaba.We are only capable of open play!
pachanya wataliano tumekosa viungo wachezeshaji kama Pastore, David Silva, Lavezzi, Iniesta na jitu kama Rui Costa.
Hii mechi tumekosa mchezeshaji wa kuwalisha washambuliaji tu...
Pia huyu Vucinic majanga tu
Juve inabidi mkaze sana kama mwakani mnataka kukabiliana na akina Psg,Athletico kule UCL..hawa akina Lyon ni wa kuwafanyia mazoezi tu ya 4-0 au 5-1...
Halafu hii Rotation ya Conte leo vp?? Llorente angekaa mbele pale na Tevez...
pachanya wataliano tumekosa viungo wachezeshaji kama Pastore, David Silva, Lavezzi, Iniesta na jitu kama Rui Costa.
Hii mechi tumekosa mchezeshaji wa kuwalisha washambuliaji tu...
Pia huyu Vucinic majanga tu
Marchisiooooooo!