Juventus Special Thread

Gemu mapumziko Benfics anaongoza 1-0 lkn lolote laweza tokea, timu zote zinafunguka ni mechi nzuri sana kutazama sio vile vituko vya Chelsea na Madrid, Buffon amefungwa goli la kichwa dkk ya pili hakuamini.
 
Mourihno kachungulia Upepo kaona isiwe tabu....
Hivi Vidal yupo wapi??

Nashangaa mwenye mji kakimbia jukwaa, lkn wana uwezo wa kusawazisha wanacheza vizuri na mipango ya goli inaonekana.
 
Mourihno kachungulia Upepo kaona isiwe tabu....
Hivi Vidal yupo wapi??

Kuna mbulula nilikua namuweka sawa huko juve2012 alikuwepo naye, Mourinho is Juventus through and through, hata hapa nimevalia jezi bora kabisa za Juventus kasoro madaruga tu, nipo imara.

Tumefungwa goli la mapema ambayo kwenye soccer huwa yana gundu sana, ni kosa la Bonucci kumwachia Ezekiel Garay kufunga a free header lakini matumaini na nia ya kushinda hili kombe tunayo.

Nategemea kipindi cha pili tutatumia vizuri hii nafasi yetu kubwa ya umiliki wa mpira na kujaribu kutengeneza nafasi za magoli

Forza Juve
 
Last edited by a moderator:
Nashangaa mwenye mji kakimbia jukwaa, lkn wana uwezo wa kusawazisha wanacheza vizuri na mipango ya goli inaonekana.

Mzee mwenzangu you know me better than that, siyo tabia yangu kukimbia vitani.

Hongera kwa ushindi mwembamba sana wa jana
 
Bora hii game mtafute hata goli la Ugenini mkifika nyumbani msicheze kwao pressure kubwa...
Manake watoto wanaonekana wapo vizuri sana kwenye Counter..
BTW; Vidal vp ni Majeruhi au? Hata sub simuoni..
 
Last edited by a moderator:
Bora hii game mtafute hata goli la Ugenini mkifika nyumbani msicheze kwao pressure kubwa...
Manake watoto wanaonekana wapo vizuri sana kwenye Counter..
BTW; Vidal vp ni Majeruhi au? Hata sub simuoni..

Nadhani unaona kipindi cha pili tuko sharp zaidi, tunahitaji kuwa makini zaidi kwani hawa Benfica ni watu wacounter kama ulivyobainisha

Mkuu wangu Vidal ana majeraha ya goti ndio maana humuoni
 
Nadhani unaona kipindi cha pili tuko sharp zaidi, tunahitaji kuwa makini zaidi kwani hawa Benfica ni watu wacounter kama ulivyobainisha

Mkuu wangu Vidal ana majeraha ya goti ndio maana humuoni

Pamoja na kuchezea klabu kubwa,Chile imetuma madaktari kwenda Turin kumfanyia uchunguzi wa kina.sijui Samatta akiumia tutatuma madaktari wetu kwenda Congo?
 
Pamoja na kuchezea klabu kubwa,Chile imetuma madaktari kwenda Turin kumfanyia uchunguzi wa kina.sijui Samatta akiumia tutatuma madaktari wetu kwenda Congo?

Wanafanya hivyo kumpa special attention, kwa sababu wanajua ni key player kwa team ya Taifa, halafu madaktari wa Club hawawezi kumuhudumia yeye peke yake wakawaacha wachezaji wengine.

Hapa kwetu hata taarifa za majeruhi za wachezaji wetu sidhani kama tuna access nazo
 
Valencia kaingiza vidole kwenye spoku za bodaboda ya sevilla inayokwenda kasi.alidhani ni baiskeli ya miti breki vidole kumbe ni bodaboda tena sio sanl g,no,ni mjapani mwenyewe,kawasaki ninja!
 
Duh Tevez alikuwa hajafunga goli michuano ya UEFA kwa miaka 5
 
Mzee mwenzangu you know me better than that, siyo tabia yangu kukimbia vitani.

Hongera kwa ushindi mwembamba sana wa jana

Nashukuru mkuu japo sina amani, nawe hongera naona Tevez anakipaka shedo kikongwe hapa. Gemu yenu hii.
 
Nadhani unaona kipindi cha pili tuko sharp zaidi, tunahitaji kuwa makini zaidi kwani hawa Benfica ni watu wacounter kama ulivyobainisha

Mkuu wangu Vidal ana majeraha ya goti ndio maana humuoni

Naona Conte itakuwa katoa maneno kuntu Halftime..Vijana wamekuja na kasi mpya kipindi cha pili..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…