Juventus Special Thread

Juventus Special Thread

Jamaa wametupia goli zuri sana, siamini kama kumtoa Tevez ni sahihi, gemu ishakuwa ngumu hii kwa bi kizee.
 
Analindwa asitoneshe jeraha lake

Bado sio mbaya sana as long as tuna goli la ugenini

Mkuu obwato
Tevez alikua anacheza akiwa na jeraha sehemu za paja, hata hivyo kacheza kwa muda mrefu sana
 
Last edited by a moderator:
Mkuu obwato
Tevez alikua anacheza akiwa na jeraha sehemu za paja, hata hivyo kacheza kwa muda mrefu sana

Mbona simu inaniambia mbili moja tena jamani?hebu nisimulieni ujinga gani tena huu dah!
 
Last edited by a moderator:
FT Benfica 2-1 Juventus

Week ijayo tutakuwa nyumbani kumalizia kazi tuliyoianza leo, natumai El Guerrero atakua kashapona kutuhakikishia nafasi yetu kwenye fainali
 
Mkuu obwato
Tevez alikua anacheza akiwa na jeraha sehemu za paja, hata hivyo kacheza kwa muda mrefu sana

Nimekusoma mdau sikuwa na taarifa hizo, pole kwa matokeo ila nimeupenda uwezo wenu, chama langu nalo lingekuwa linafunguka hivi BBC wangekuwa na zaidi ya magoli 100 msimu huu.
 
Last edited by a moderator:
Mbona simu inaniambia mbili moja tena jamani?hebu nisimulieni ujinga gani tena huu dah!

Haikudanganyi Mkuu

Tumefungwa lakini tumejitahidi kucheza vizuri, tumetengeneza nafasi nyingi zaidi yao, possession ilikua yetu ILA TU hatukuwa makini na strength yao kuu ambayo ni counter attack

Bado tuna nafasi nzuri tu kuyageuza matokeo haya nyumbani kwetu
 
Lakini hili tatizo la kucheza vizuri bila kutumia nafasi zetu halafu mwisho tunaumizwa kwa counter linanichefua sana.sijui Conte kashindwa wapi aaargh,nimechukia.
 
Lakini hili tatizo la kucheza vizuri bila kutumia nafasi zetu halafu mwisho tunaumizwa kwa counter linanichefua sana.sijui Conte kashindwa wapi aaargh,nimechukia.

Mkuu sitamlaumu sana Conte au wachezaji wetu. Kikosi chetu kama ujuavyo ni kilekile kinachoshiriki michuano yote, kuna swala la uchovu.

Mchezaji kama Asamoah ni lini mara ya mwisho uliona kapumzishwa? Pirlo je? Halafu bado mtu kama Carlitos alikua anacheza na majeraha

Bado nina matumaini makubwa tu kuwa tuna nafasi kubwa sana kushinda game ya marudiano

Keep Calm and Forza Bianconeri
 
Nimetazama highlights,inaonekana mechi ilikuwa nzuri sana,tevez kafunga goli zuri,lima kastukiza goli mahala ambapo hakuna aliyefikiria angefunga,pogba alikuwa anakimbiza sana leo,sasa mechi za aina hii hushinda yule mwenye clinical finishing,where is Llorente?
 
Kama kuna kitu unatakiwa kumlaumu Conte ni kumuacha bench Llorente kwa game ambayo ilikua open kama hii, maana hizi ndio game zake
 
Vipi Vucinic,kachezaje leo?

Leo forward line yetu yoote ukimuacha Carlitos ilikua ushuzi tu, Vucinic, Osvaldo na Panya wote wamechemsha leo,

Kulikua na crosses super kama mbili hivi kutokea winga ya kulia hasa kipindi cha pili zilikua za ku-tap in tu, lakini jamaa zako walikua na kigugumizi cha miguu leo
 
ebana game ya Benfica na Lavecchia niliiangalia kwa umakini mzito.

Juve walicheza vizuri mnoo.
Vile vijamaa vina mashambulizi ya kustukiza ile mbaaya na vinatoka baruti ile si kingese...
Nilipenda zaidi uncle Conte alivowajazia sungusungu kisha kiungo sugu na kule mbele ngoma ngumu Oscar Carlos...

Conte anachoniuzi kwa sasa ni kumuanzisha Mirco tu.
Mwambieni aache uzezeta...world cup inakuja so amchezeshe Seba Nguchiro ili awe full kuisaidia taifa.
All in all kwa wanaoijua Juve wanafahamu ni nini kinatokea kwenye second legg pindi Bi kizee akianzia away kisha akipata goli...

Teh teh kama kuna mtu wa Madrid basi atatoa ushuhuda.
Maana kuna mwaka Juve walikwenda Bernabeu huku mijiwe kibao ikiwa imebaki Torino wakiuguza Flu.

Dah aisee soka la mwanzoni na katikati mwa miaka ya 2000 lilikuwa tamu mnoo...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom