juve2012
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 3,343
- 2,040
Mchaka Mchaka wa Wareno leo Mtauweza kweli??
Ngoja tuone...
Tulia braza.mechi ngumu hii.panadol zangu nimeweka wapi wajameni!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchaka Mchaka wa Wareno leo Mtauweza kweli??
Ngoja tuone...
Tulia braza.mechi ngumu hii.panadol zangu nimeweka wapi wajameni!
Mourihno kachungulia Upepo kaona isiwe tabu....
Hivi Vidal yupo wapi??
Mourihno kachungulia Upepo kaona isiwe tabu....
Hivi Vidal yupo wapi??
Nashangaa mwenye mji kakimbia jukwaa, lkn wana uwezo wa kusawazisha wanacheza vizuri na mipango ya goli inaonekana.
Kuna mbulula nilikua namuweka sawa huko juve2012 alikuwepo naye, Mourinho is Juventus through and through, hata hapa nimevalia jezi bora kabisa za Juventus kasoro madaruga tu, nipo imara.
Tumefungwa goli la mapema ambayo kwenye soccer huwa yana gundu sana, ni kosa la Bonucci kumwachia Ezekiel Garay kufunga a free header lakini matumaini na nia ya kushinda hili kombe tunayo.
Nategemea kipindi cha pili tutatumia vizuri hii nafasi yetu kubwa ya umiliki wa mpira na kujaribu kutengeneza nafasi za magoli
Forza Juve
Bora hii game mtafute hata goli la Ugenini mkifika nyumbani msicheze kwao pressure kubwa...
Manake watoto wanaonekana wapo vizuri sana kwenye Counter..
BTW; Vidal vp ni Majeruhi au? Hata sub simuoni..
Nadhani unaona kipindi cha pili tuko sharp zaidi, tunahitaji kuwa makini zaidi kwani hawa Benfica ni watu wacounter kama ulivyobainisha
Mkuu wangu Vidal ana majeraha ya goti ndio maana humuoni
Pamoja na kuchezea klabu kubwa,Chile imetuma madaktari kwenda Turin kumfanyia uchunguzi wa kina.sijui Samatta akiumia tutatuma madaktari wetu kwenda Congo?
Mzee mwenzangu you know me better than that, siyo tabia yangu kukimbia vitani.
Hongera kwa ushindi mwembamba sana wa jana
Duh Tevez alikuwa hajafunga goli michuano ya UEFA kwa miaka 5
Nadhani unaona kipindi cha pili tuko sharp zaidi, tunahitaji kuwa makini zaidi kwani hawa Benfica ni watu wacounter kama ulivyobainisha
Mkuu wangu Vidal ana majeraha ya goti ndio maana humuoni
Mbona mnalitoa jembe tena?
Mbona mnalitoa jembe tena?