strong ruler
JF-Expert Member
- Nov 2, 2013
- 4,921
- 3,308
Wametoa Greda wameingiza jembe
Haya cha Pili hicho...
Mkuu obwato
Tevez alikua anacheza akiwa na jeraha sehemu za paja, hata hivyo kacheza kwa muda mrefu sana
Mbona simu inaniambia mbili moja tena jamani?hebu nisimulieni ujinga gani tena huu dah!
Haikudanganyi Mkuu
Tumefungwa lakini tumejitahidi kucheza vizuri, tumetengeneza nafasi nyingi zaidi yao, possession ilikua yetu ILA TU hatukuwa makini na strength yao kuu ambayo ni counter attack
Bado tuna nafasi nzuri tu kuyageuza matokeo haya nyumbani kwetu
Lakini hili tatizo la kucheza vizuri bila kutumia nafasi zetu halafu mwisho tunaumizwa kwa counter linanichefua sana.sijui Conte kashindwa wapi aaargh,nimechukia.
Mkuu sitamlaumu sana Conte au wachezaji wetu. Kikosi chetu kama ujuavyo ni kilekile kinachoshiriki michuano yote, kuna swala la uchovu.
Mchezaji kama Asamoah ni lini mara ya mwisho uliona kapumzishwa? Pirlo je? Halafu bado mtu kama Carlitos alikua anacheza na majeraha
Bado nina matumaini makubwa tu kuwa tuna nafasi kubwa sana kushinda game ya marudiano
Keep Calm and Forza Bianconeri
Nimetazama highlights,inaonekana mechi ilikuwa nzuri sana,tevez kafunga goli zuri,lima kastukiza goli mahala ambapo hakuna aliyefikiria angefunga,pogba alikuwa anakimbiza sana leo,sasa mechi za aina hii hushinda yule mwenye clinical finishing,where is Llorente?
Kama kuna kitu unatakiwa kumlaumu Conte ni kumuacha bench Llorente kwa game ambayo ilikua open kama hii, maana hizi ndio game zake
Vipi Vucinic,kachezaje leo?
Natumai leo shifta atatusaidia kuchukua scudeto kwa mara ya tatu mfululizo majira ya saa 4 kasorobo usiku kwa kumfunga Roma
Hana uwezo huo...lazima atapigwa tu
Mourihno kachungulia Upepo kaona isiwe tabu....
Hivi Vidal yupo wapi??