Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Ziroseventytwo umejificha wapi? Naona team yako na Benitez wenu chalii, tena nyumbani, mambo ya Max Lopez hayo
nipo sana mkuu, ni kweli tumeadhibiwa bao 1 kwa 0 na chievo, ambayo mimi naamini walikuwa na bahati zaidi kuliko uwezo. Msimu huu naona utakuwa tough kweli timu zimejiandaa kwelikweli.
Milan naona wapo uwanjani saa hizi. Najua Gang Chomba anasubiri matokeo aje hapa kesho na lugha zake zenye shombo.
Last edited by a moderator: