MosDef
JF-Expert Member
- Mar 13, 2014
- 8,420
- 17,183
Mzee mwenzangu juve2012 hii habari ya Xherdan Shaqiri umeipokeaje?
In an interview with Tuttosport, the Swiss star stated: 'Juventus would definitely be a nice option.
'Juventus are a big club, who wouldn't want to play for them... I don't think Juventus would be a step back in my career.
Dogo nahisi anajaribu kuforce move ya kuondoka Bayern..
Manake juzi kati hapa, Rais wa bayern aliulizwa kuhusu mstakabal wa Shaqiri..akasema hawatomuuza coz ni future ya Bayern..
Siku moja mbele kwenye Page ya twitter Account yake, Shaqiri akaandika "i live for the present, not for the future"...nahisi alikuwa anamjibu na kumpga dongo raisi wa Bayern..
Lakin kama mkimpata yule bwana mdogo..mtakuwa mmepata jembe sana..
he's young, talented na ana njaa ya kuprove kipaji chake..ni mzuri.
atajiua sana kama akiendelea kubaki Bayern..
Last edited by a moderator: