Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Ziroseventytwo umejificha wapi? Naona team yako na Benitez wenu chalii, tena nyumbani, mambo ya Max Lopez hayo
Ziroseventytwo umejificha wapi? Naona team yako na Benitez wenu chalii, tena nyumbani, mambo ya Max Lopez hayo
nipo sana mkuu, ni kweli tumeadhibiwa bao 1 kwa 0 na chievo, ambayo mimi naamini walikuwa na bahati zaidi kuliko uwezo. Msimu huu naona utakuwa tough kweli timu zimejiandaa kwelikweli.
Milan naona wapo uwanjani saa hizi. Najua Gang Chomba anasubiri matokeo aje hapa kesho na lugha zake zenye shombo.
Msimu huu kwa kweli utakua mgumu sana kwenu, ndio maana jamaa hawajaanza maongezi ya kumuongezea mkataba Benitez mpaka waone atawapa nini msimu huu
Kina Gang Chomba na Belo wameenza vizuri kweli na hii itakua balaa kwetu, maana maneno ya kwenye vigodoro yatatawala sana humu, lol
Leo Kop wameumiza moyo wangu sasa hawa Juventus wasiwacheleweshe hawa Ac Milan.
Watakaa tu na Pippo wao
Daah washakaa...
Daah washakaa...
milan wamepata bhana. Ushindi mkubwa lakini wa hovyo. 5-4 dhidi ya parma. Hapa inaonyesha defence yao ni ya mgambo, ingawa game sikuicheck, kule goal.com wameiponda sana. Wameiita "shame'. Gang Chomba njoo utoe tathmini.
salama?:wacko:
hawa napoli wana matatizo gani?namna hii juventus hatuna wa kuzuia moto wetu serie A
Kuna siku ulimsifia sana Benitez wewe, ukasema ni bonge la kocha na nakumbuka tulikutahadharisha lakini kijana wetu hukusikia, wapi EMT?