juve2012
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 3,343
- 2,040
Not when it comes to Andrea Pirlo, The Artist.
Jamaa anaweza kucheza na glass ya wine na isimwagike.
Sasa nakubali kwenye faulo huyu jamaa hafai!
Ni noma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Not when it comes to Andrea Pirlo, The Artist.
Jamaa anaweza kucheza na glass ya wine na isimwagike.
Nipo mkuu,nimepoa kama maji mtungini manake timu halieleweki siku hizi,unaweza kuongea sana ukishinda leo,kesho mnapigwa.
Vidal simfurahii sasa hivi.Bora angeenda Man utd tu,bichwa limekuwa kubwa hamna anachofanya uwanjani.
That last gasp penalty was the golden opportunity to make things more better in terms of head to head you know.
Not when it comes to Andrea Pirlo, The Artist.
Jamaa anaweza kucheza na glass ya wine na isimwagike.
Hii picha niliiona hapa JF kwa mara ya kwanza wakati wa World Cup
Leo match ya pili mfululizo Pirlo anafunga kwa free kick lakini naona performance yake na soka lake tamu linadumazwa na kiwango kibovu cha team yetu, anastahili zaidi, bora hata angekua anaenjoy soka lake na Carlo Ancelotti huko Madrid kuliko kwa huyu mwehu aliyemkimbiza Milan
Pamoja na ushindi mpana wa goli 7-0, mliopata dhidi ya parma, wanazi wa juventus mmeshindwa kuja hapa na kujadili japo kidogo! " Mourinho, juve2012, Viper, EMT na wengine kina pachanya, vp? Mbona jukwaa linakuwa kama halina wenyeji?
Chama langu s.s. Napoli tumepata 1-0 dhidi ya timu ngumu ya Fiorentina. Ushindi unaotupeleka nafasi ya tatu alama chache toka pale juu. Tumerudi kwenye reli, siyo mdogo mdogo tena sasa ni mwendo mdundo!.
Mkuu wangu soka la Italia linaniboa kila siku, nitaangalia matches lakini nguvu ya kujadiliana sina, halafu hata nikitaka kumsifu Carlitos kwa goli lake mahiri ntajadiliana na nani? Uzi huu na ule wa Milan ni nyuzi mfu, zinakatisha tamaa kwa kweli.
Sikuona game yenu lakini kutokana na matokeo ya mechi mbili-tatu zilizopita inaonesha kama mmefufuka kutoka kuzimu kama Alan Pardew, mie ntapata ahueni kidogo kama tutafanya chochote Ulaya (including A.S Roma)
Gang Chomba na Milan yake wameishiwa sera, wanapoelekea watakua kama Liverpoolkweli mkuu. Thread hii na ile ya milan zimekufa, Gang Chomba na mwenzake Viper ambao ni ma-owner wa thread hawana habari kabisa. Mabuluda kibao wamekimbilia epl,na kule kumechangamka...hapo kwa pardew he risen from dead! Kweli kabisa. Watu walikuwa wanasubiri aonyeshwe mlango wa kutokea, yeye katokea dirishani.
Parma wabovu ila naona hii formation yetu mpya kama imeleta uhai fulani tangu mechi dhidi ya Olympiakos.Ngoja tuone.
Pamoja na ushindi mpana wa goli 7-0, mliopata dhidi ya parma, wanazi wa juventus mmeshindwa kuja hapa na kujadili japo kidogo! " Mourinho, juve2012, Viper, EMT na wengine kina pachanya, vp? Mbona jukwaa linakuwa kama halina wenyeji?
Chama langu s.s. Napoli tumepata 1-0 dhidi ya timu ngumu ya Fiorentina. Ushindi unaotupeleka nafasi ya tatu alama chache toka pale juu. Tumerudi kwenye reli, siyo mdogo mdogo tena sasa ni mwendo mdundo!.
Sio mbaya,magoli ya akili,Tevez,Llorente..ngoja tusubiri mechi na Atletico tuone.
cc Mourinho
I wish serie a ingerudia viwango vya mechi kama ya leo.
Torino wabishi,wamefanya mechi iwe kali sana,Pirlo kapiga goli kali la ushindi dk ya 90 ila yule dogo Peres katuaibisha sana lile goli alilotufunga ni goli la karne.
Allegri alisema anahitaji goli mbili.
Me nahitaji points 3, goal hata liwe la kujifunga