Juventus Special Thread

Gang Chomba kama nakuona vile ukiwaumenuna hadi kipindi cha kwanza 3-0. OOOH FORZA JUVENTUS. What a mis from Vidal, oooh its a penalty!!!. and Red card for Philipo Mexes. Najua watu watasema sana kua tunabebwa but juve ni moto wa Gesi sasa hivi.
 
clash The Brazilian forward is highly unlikely to feature in
AC Milan's encounter this weekend after having
picked up yet another physical issue
 
hivi haka kabaridi bongo kapo kweli au nakahisi peke yangu?sijui quagliarela leo atawananihii..?dah!haya
 
Leo Milan hawana uwezo wa kukamata viungo wa SUPER JUVENTUS. Yan SES wao leo anawekwa mfukoni mapema. milan wanakula sio chini ya goli 3 leo. But nakereka jinsi tutavyowamiliki mpira mda wote then tunaishia kuwapiga 4-0 (Marchisio 2, Vidal 1, Asamoah 1. WEEE JUVE NIPE RAHA LEO.
 
AC Milan (4-3-3)
marco Amelia; Mattia De Sciglio, Philippe Mexes,
Mario Yepes, Kevin Constant; Riccardo Montolivo,
Nigel De Jong, Antonio Nocerino; Robinho, Kevin-
Prince Boateng, Stephan El Shaarawy.
 
Juventus F.C. (3-5-2)
Gianluigi Buffon (C); Andrea Barzagli, Leonardo
Bonucci, Martín Cáceres; Mauricio Isla, Arturo Vidal,
Andrea Pirlo, Claudio Marchisio, Kwadwo
Asamoah; Mirko Vučinić, Fabio Quagliarella.
 
Gang Chomba kama nakuona vile ukiwaumenuna hadi kipindi cha kwanza 3-0. OOOH FORZA JUVENTUS. What a mis from Vidal, oooh its a penalty!!!. and Red card for Philipo Mexes. Najua watu watasema sana kua tunabebwa but juve ni moto wa Gesi sasa hivi.


Teh teh teh teh...
 
Gang Chomba kama nakuona vile ukiwaumenuna hadi kipindi cha kwanza 3-0. OOOH FORZA JUVENTUS. What a mis from Vidal, oooh its a penalty!!!. and Red card for Philipo Mexes. Najua watu watasema sana kua tunabebwa but juve ni moto wa Gesi sasa hivi.


Juve ni kama simba wa kwenye kalenda...
Hakimbizi wala hang'ati
 
Hongera Gang Chomba, but naona mlikua 12 uwanjani. tumefungwa lakini kiwango si kibaya natumai bado tunanafasi yakuendelea kuongoza na kuchukua ubingwa. Yule mtoto Mattia Desciglio nimemkubali anajua.
 
ci sono vittorie che confondono e sconfitte che chiariscono
(there are defeats and there are victories ) Gang Chomba congrats!


 
Last edited by a moderator:
Kiubaridi kimekuzidi ndugu yangu...
Forza Milan

Dah!inaniuma!poa lakini yote soka.kwa kweli huwa sipendi kufungwa na milan bora hata inter.inaniuma sana.mie sikupi hongera chomba mpaka uniambie ile ilikuwa penalty or not?nakupima nijue how honest you are.jana kabla ya mechi Moggi alisema kuwa refa huyu(rizoli)ana matatizo na mechi za juve.kwa kilichotokea jana..mh!anyway hata hivyo hatukucheza vizuri.just one short on target!kwa kweli tunahitaji strikers pamoja na one or two more fast,creative midfielders.hawa akina vidal na pirlo ni wazuri lakini inapotokea tunabanwa na defence ya upinzani na hivyo kuhitaji matumizi ya counter attacks au quick through balls au one two za haraka haraka(kama za messi na iniesta)huwa si wepesi.tunahitaji midfield yenye uwezo wa kupeleka mipira haraka mbele,ndio maana ac milan,fiorentina na shakhtar donesk wametusumbua sana.ah!haya bwana,ndio soka,nisiwe mchoyo..hongera chomba ila nijibu swali langu.
 
juve mwamuzi kasema tuta...so ni tuta.
Then kumbuka Moggi ni msema hovyo, hana tofauti na Galiani.

Last season Muntari alipopiga kichwa kisha kikawa goli then refa akakataa je Moggi alisemaje?

Watu wa pwani tunasema kamba ni kamba tu...kwa ngedele kiunoni kwa mbuzi shingoni.
 

chomba kuwa honestly bana! Ile penalty ya magumashi
 
chomba kuwa honestly bana! Ile penalty ya magumashi

Hata goli la Muntari last season lilikuwa la halali lakini refa akalikataa...

Ndio mpira huo sheikh, na ndio maana nasema kamba ni kamba tu, kwa ngedele kiunoni kwa mbuzi shingoni
 
Thats not the question but it is the answer that they will qualify and make it to the final against the one of two good clubs thus are Arsenal or Barcelona, B'coz they have the good sharp strikers led by GIOVINCO and good deffence led by CHIELLINI, But i'm afraid that they will not be the champions b'coz when they meet with either Arsenal or Barcelona they will get a beating that they will never forget.so long everlasting Arsenal,i'm ouuuuut!
 
Juve ni kama simba wa kwenye kalenda...
Hakimbizi wala hang'ati

"115 anni di gloria e successi, benvenuti nello Juventus Museum! Video, cimeli e curiosità navigabili a 360 gradi: ecco il video interattivo"

"115 years of glory and success, welcome to Juventus Museum! Videos, artefacts and precious memorabilia all fully navigable by 360 degrees: here's the interactive link




 

i think chelsea would have been in ur list if they were not in juve's group!
 
ikicheza ugenini klabu ya AC Milan wameweza
kuichapa klabu ya Catania kwa jumla ya Magoli
3-1.
Magoli ya AC Milan yaliwekwa kimiani na
mshambuliaji hatari Stephan Elshaarawy kisha
Kelvin Prince Boateng akafunga goli la pili na goli la 3 likafungwa tena na Elshaarawy wakati lile la
kufutia machozi la Catania lilifungwa na Nicola
Lecogretaglie. Kwa ushindi huu sasa Milan wanajikusanyia jumla
ya pointi 21 na kushika nafasi ya 7 huku wakiwa
nyuma kwa pointi 11 dhidi ya vinara Juve ambao
wiki iliopita walikalishwa kwenye kibao cha
mbuzi na kukubali kupigwa bao moja dhidi ya
watemi hawa wa jiji la Milan. Forza Milan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…