Mourinho
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 4,619
- 2,327
Naona Allegri anafaulu mtihani ambao ulimshinda Conte,combination ya Pogba +Tevez + Morata imewabeba sana.Kwenye Serie A ubingwa uko mkononi na Champions League almost mko nusu fainali.Natamani sana mchukue ubingwa msimu huu
Ahsante kwa best wishes Belo
Tevez na Morata wamatengeneza bonge la combo na haijalishi nani anacheza nyuma yao, awe Vidal, Pogba, Marchisio, Pereyra au Pirlo, wao ni mwendo wa kucheka na nyavu tu
Kwa kweli baada ya kutimba kwenye 1/4 final ndio nimemkubali Allegri, majuventini tulimpokea vibaya sana huyu bwana, lakini sasa majuventini wote tupo nyuma yake.
#ForzaBianconeri
Last edited by a moderator:
