Juve anaweza kupata matokeo mabaya akiwa kwake ktk huo mchezo na hao Monaco kwasababu nimeona timu zinapokua Away ndio zinafanya vzr sn....
Nafikiri Juve kuingia Fainali ya UEFA ya mwisho ni zaidi ya kumi iliyopita pale walipoingia na Ac Milan.....na pia nafikiri wakati ule hizi timu za Italy zilikua imara sn maana wakati huo ata Waitaly wenyewe walikua wana vipaji vingi sn na wanacheza mpira wa kufa mtu....na km unakumbuka hizo timu kubwa wakati huo zilikua tatu Internazionale, Ac Milani na Juve....hizi timu ndio zilikua chachu ya timu ya taifa ya Italy ile iliyo sumbua sn pale Ujerumani na kuchukua kombe la Dunia mwaka 2006.
Hivi vita ni vigumu kwa Juve safari hii ingawa km wataweka nguvu na kurudisha ile hari iliyokuwepo wakati ule basi tunaweza kuiona Juve ikifika mbali...
Mnaweza mkasukuma nje Monaco lkn Monaco watakuja wakiwa tofauti sn tena sio km hawa waliocheza juzi na Arsenal...