juve2012
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 3,343
- 2,040
umemsikia Ancelloti?Anasema,"with all regards to mr. Sacchi,many enemies,much honour!"akinukuu huo usemi wa fashisti Mussolini!kwa hiyo Ancelloti anasapoti huu upuuzi?nimechoka kabisa ila sijawahi kusikia mashabiki wa Juve wakimbagua muafrica,labda wakati fulani walikuwa na tuhuma za racist chants against southern Italians na watu wa Naples,na hili ni tatizo la kihistoria kule Italia wazungu wa kaskazini na kusini hawaivi chungu kimoja!