Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vp penalt tuliyopewa, Mimi naona kama ilikuwa soft sana. Mzee pirlo VP Leo kacheza kwa kiwango ulichotegemea?...

Get ready, we are coming!!!!!
Ziroseventytwo, jana mmenifurahisha sana kwa kumchapa mkoloni tena nyumbani kwake, kudos
#Forzanapoli
Soka wakati mwingine halieleweki kabisa. Sikutegemea ushindi mnono kama ule. Mpaka hapo tuna 80% kwenda semi final.
Sio 80% mna 95% kusonga kwenye semis maana vijamaa vilishindwa kufurukuta maghetoni kwao, vikija Naples pale kwa mtakatifu Paulo vitafyata kabisa mikia
Nilifurahi tena kumuona Marek Hamsik akiwa katika ubora wake, Benitez anamuua huyu bwana
Karibuni, lakini mkumbuke tu Juventus sio PSG au Man City
•Premier League clubs have been outperformed by European rivals
•Bundesliga set to move above Premier League next season
•Serie A could also overtake England, if Italian successes continue
•Napoli, Juventus and Fiorentina are still in contention for European glory
•All English clubs have been eliminated already this season
•One more bad season would see England lose a Champions League spot
Haya wanazi wa EPL kaeni chonjo, Ntuzu everlenk MosDef Janjaweed Belo Manumbu Aleyn Salamander b5-click BAK RRONDO Ziroseventytwo TUPACified Malafyale gutierez na wadau wote wa soccer
Na hii move ya kutaka kuweka limit ya kusajili foreign players kwa kila timu kuruhusiwa wachezaji wanne tu ikipitishwa ndio watazidi kuimaliza EPL. Hii issue inapingwa sana na Wenger, SAF na wengineo. Kwa maoni yangu wachezaji wengi wa UK viwango vyao bado ni vya chini mno ndio maana wengi wao hawasajiliwi na timu za EPL. Huwa mara moja moja naangalia ligi ya ufaransa, kule nako ligi yao inakuja juu kwa kasi kubwa.
Premier League clubs have been outperformed by European rivals
Bundesliga set to move above Premier League next season
Serie A could also overtake England, if Italian successes continue
Napoli, Juventus and Fiorentina are still in contention for European glory
All English clubs have been eliminated already this season
One more bad season would see England lose a Champions League spot
Haya wanazi wa EPL kaeni chonjo, Ntuzu everlenk MosDef Janjaweed Belo Manumbu Aleyn Salamander b5-click BAK RRONDO Ziroseventytwo TUPACified Malafyale gutierez na wadau wote wa soccer
Hivi ni wanne tu? Nilidhani ni nane (8)
Lakini bado ni theory inayopingwa na wengi, the FA wanataka hivyo wakiamini watakuza vipaji vya wazawa lakini Premiere League wako against hiyo move, it will take years kuwa implemented