Juventus Special Thread

Juventus Special Thread

Daaah hatimaye Juve tumefuzu vizuri sana. tulianza na sare 3 kwa mpigo na tumemaliza kwa ushindi wa mechi 3. FORZA JUVENTUS. Na wiki hii yule Mtaalamu wetu ANTONIO CONTE ndio anarudi, so mtegemee mambo makubwa zaidi.
 
Pampaluma mlango wa chuma ukiufungua.........!gang chomba bado tupo wote bhanaa!teh..teh..teh!
 
mie na wewe hadi fainali sheikh,kama 2002...!itafanyika wapi mwakani?

Hujakoma eeh?
nilichokufanyia juzi kati unaona kama hakitoshi eeh?
we endelea kuwaota Milan wakati timu yako yenyewe ndio ile ikipigwa kona mnadaka.
 
ilikuwa 2003 Old trafford mwakani UCL itafanyika Wembley Stadium pale London

alaa kumbe na hii itakuwa uingereza tena!what a coicidence!hii ni ishara nzuri ila naomba chomba wasimpeleke dortmund wala munich,watamharibu dental formula yake!
 
Hujakoma eeh?
nilichokufanyia juzi kati unaona kama hakitoshi eeh?
we endelea kuwaota Milan wakati timu yako yenyewe ndio ile ikipigwa kona mnadaka.

yaani nshaivuta manati nakusubiri wembley ila tu wasikupeleke ujerumani!wababa wale wabaya watanipeperushia chole wangu.
 
Hujakoma eeh?
nilichokufanyia juzi kati unaona kama hakitoshi eeh?
we endelea kuwaota Milan wakati timu yako yenyewe ndio ile ikipigwa kona mnadaka.

nshaivuta manati yangu nakusubiri utue wembley tu,isipokuwa wasikupeleke ujerumani,wababa wale wabaya watanipeperushia chole wangu!
 
nshaivuta manati yangu nakusubiri utue wembley tu,isipokuwa wasikupeleke ujerumani,wababa wale wabaya watanipeperushia chole wangu!

mkuu jana vijana wameshinda lakini kwa penalty ya kimagumashi
 
Juventus-Cagliari 1-0
Il 12.12.12 doveva segnare lui, il numero 12, Sebastian Giovinco!

On 12/12/12, it just had to be him, number 12, Sebastian Giovinco!

556324_580390298654870_268147883_n.jpg
 
Juventus-Cagliari 1-0
Il 12.12.12 doveva segnare lui, il numero 12, Sebastian Giovinco!

On 12/12/12, it just had to be him, number 12, Sebastian Giovinco!

556324_580390298654870_268147883_n.jpg

kama kawa!huu muziki mzito,bora wangetupa tu makombe yetu,wasisubiri maangamizi!
 
Chomba anaendesha bito then sisi tunaendeshwa na SEBASTIAN VETEL ndani ya Mercedez Benz . Tumemwacha 14 miles then laps ndio zinaelekea mwisho. Forza Juve.
 
Chomba anaendesha bito then sisi tunaendeshwa na SEBASTIAN VETEL ndani ya Mercedez Benz . Tumemwacha 14 miles then laps ndio zinaelekea mwisho. Forza Juve.

hahaha ngoja nikamtafute jukwaa la mapishi kule ... hahaha
 
Kama kauwa!atalanta hoi!eti wanajiita giant killers,lol!pigwa tatu bila majibu.maskini inter mbendembende!tupo wenyewe kwenye kilele.hebu ngoja niite choombaa eeeh!wanisikia?kimyaaa!
 
Back
Top Bottom