Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,897
- 10,213
Hofu yangu kubwa iko kwa A.C Milan!wenye timu wako shaghalabaghala kila mtu na maamuzi yake!Berlusconi nae politiki zinamchosha akili.Wamuachie timu uncle Festa watafanya la maana.Milan inapaswa kuundergo revolution kama ya Juve wakati ule walipouza robo tatu ya timu,wakanunua wachezaji wapya,wakabadili makocha hadi kumpata Conte,wakabadili directors hadi rais wa timu!Pale Milan uncle Festa anastahili kukabidhiwa nafasi yenye maamuzi makubwa sasa.Yule jamaa analijua soka na fitna zake.
Ac Milan wanahitaji kuanza era mpya kumbuka hata Juve kushushwa daraja kuliwasaidia financial,waliuza wachezaji wengi wakapata hela wakajenga timu upya wamerudi Serie A still wamekuwa stable financial na uwanjani kuliko team zote za Italy.Kama Moggi alivyoondoka hata Galiani anaweza kuondoka na wakapatikana watu wengine kama Maldini,Gatusso,Inzaghi au Sheva.Tatizo kubwa Berlusconi bado anataka mshikaji wake Galiani aendelee kubaki