Juventus Special Thread

Juventus Special Thread

Conté anajiharibia sana kubishana na Capelo ,ni kweli Juve inafanya vizuri Italy but wapinzani wake (Inter,Milán) wakuu wako hoi sana.Pamoja na kupangwa kundi gumu but ilikuwa ni aibu kubwa kushindwa kuifunga timu kama Copenhagen.Nakumbuka hata Lippi alisema hakuna timu ya Serie A itakayochukua Champions League miaka kumi ijayo

Ahsante Belo, pamoja na kuwa namuheshimu na nampenda kocha wetu lakini kwa hili hana vigezo vya kubishana na Capello

Na akishindwa kuchukua Europa ambayo fainali yake inachezewa nyumbani basi kuna haja ya kufikiria kibarua chake
 
Last edited by a moderator:
Well,mie nadhani Conte yupo sahihi ila ameongea kwa ukali sana,nasikia hadi Agnelli amemuita na kumtuliza asibishane na "watu wazima",Capello nakubaliana naye upande mmoja kwamba serie a imeshuka kiwango,lakini upande mwingine anaposema kiwango hicho kimeshuka kiasi cha kuathiri perfomance ya Juventus ulaya,hapo sikubaliani naye kabisa.Juve hawana weakness yenye ukubwa wa kushindwa kuwazuia kufika quarterfinals za ulaya.Kutolewa mapema mwaka huu si tatizo la competency ya timu,uwendawazimu na loss of concentration ambayo timu kubwa kama Juve huwa hawairudii mara kwa mara na mtu yeyote akilichukulia hili kudetermine kiwango cha Juve msimu ujao atakosea.Tuangalie how Juve went out,draw ya kule Denmark,kweli tulitoka draw kwa kushindwa kiviwango kwenye mechi ile?hapana.Draw ya Turin dhidi ya Galatasaray,kweli tulipata sare ile kwa ajili ya kuzidiwa kiwango na Galatasaray?hapana,ni upuuzi wetu wenyewe ulitucost,mechi mbili dhidi ya Madrid,tuwe wakweli(na Madrid ni wakubwa),kuna mechi yoyote unayoweza kusema Juve alizidiwa?hapana,bahati tu ilikuwa kwa Madrid na hasa ile mechi ya Bernebeu kama tusingepigwa ile red..sijui!mechi ya mwisho dhidi ya Galatasary ushindi ule ni wa mezani kwa sababu ile haikuwa football,huwezi kucheza mpira kwenye tope,hata Bayern angeweza kufungwa,ilikuwa fluku fluku tu na wale waturuki wana style ya mipira mirefu,ikawa advantage kwao dhidi ya Juve inayocheza mpira wa kutandaza chini kwa mpangilio,mpira wao ukafia kwenye madimbwi,that was completely unfair achilia mbali mpira kuchezwa two days nusu nusu,that game was UEFA's biggest shame hata goal.com waingereza wanaosifika kuikandia serie a na timu zetu walitoa editorial wakikandia vibaya uamuzi wa UEFA kuchezesha ile mechi,that wasn't football,because you can't apply football rules and techniques in water and mud!that was crazy aisee!kila mtu aliwashangaa hadi viongozi wa Galatasaray wenyewe walisema mechi haikustahili kuchezwa!sasa nikiyatazama haya,na kumbukumbu za kumtwanga Chelsea,Celtic,Shaktar na kuja kutolewa na Bayern iliyotwaa ubingwa,sidhani kama Juve ni dhaifu hivyo anavyosema Capello.Napoli?kwa matokeo yao misimu miwili iliyopita sidhani kama ni dhaifu,hao Totenham wenyewe walitoka jasho kwa Lazio,sembuse Juve?Huyo Atletico asitegemee mteremko kwa Milan hata kidogo!what about Roma?ni timu dhaifu ile?Capello amekosea hapa.Serie a imekosa wachezaji bora "wenye majina" na si wachezaji bora.Halafu kushuka kiwango cha serie a kwa margin hii ya sasa bado si excuse kwa Juve kufanya vibaya ulaya.PSG wanatoka ligi gani?mbona wapo wapo sana tu ulaya?Basel?what about Bayern huko nyuma waliendelea kuwa established force ulaya pamoja na Bundesliga kushuka kiwango miaka ile.How did they manage that?ni kuichukulia ulaya kama nchi yenye ligi yake,ukatumia advantage ya kuwa regular champion kwenye nchi yako kushiriki ulaya kila siku,ukatumia pesa unazopata kuendelea kukandamiza wanyonge wako huko kwenu huku ukijenga kikosi kitakachokuwa cheap financially and strong tactically and technically,avoid many big names(just take few) and take quality players with no names,grow up with them(sio kubadili sera very early unapoona fedha zinaanza kujaa,)that's what Barcelona did 8 to 10
years ago kuwaondoa akina Kluivert na Enrique na kuwachukua akina Ronaldinho wanaochipukia,that's what TP Mazembe is doing,that's what Bayern did and that's what Juve is doing now na naamini watafanikiwa kama hao wengine.Kwa hiyo kushuka kiwango serie a haiwezi kuwa excuse kwa Juve kubweteka na kusema "jamani,ligi yetu mbovu,hatuwezi kufanikiwa ulaya".Ingekuwa hivyo basi ningewashauri waje vodacom premier league tu manake huku ndiko kwenye watu wenye visingizio na si solutions for success no matter what!
 
Conté anajiharibia sana kubishana na Capelo ,ni kweli Juve inafanya vizuri Italy but wapinzani wake (Inter,Milán) wakuu wako hoi sana.Pamoja na kupangwa kundi gumu but ilikuwa ni aibu kubwa kushindwa kuifunga timu kama Copenhagen.Nakumbuka hata Lippi alisema hakuna timu ya Serie A itakayochukua Champions League miaka kumi ijayo

kwa nini maneno haya hayakusemwa msimu ule tulipomtwanga Chelsea?why now?Lippi is my big time hero and my favourite coach kupita wote wa Juve(Conte inclusive)lakini kwa hili sikubaliani naye!ten years?hii sio Arsenal bwana!Inter waliwezaje kutwaa ubingwa wa ulaya mwaka ule wakati Juve,Milan,Roma na Napoli zikiwa hoi kuliko sasa?he must be jocking!
 
Hata Juve wakitolewa europa na kuendelea kuharibu ulaya,wasitoe excuse ya kiwango cha serie a.Waseme tu "tumeshindwa soka,tuhamie formula one na Ferrari zetu",period!
 
kwa nini maneno haya hayakusemwa msimu ule tulipomtwanga Chelsea?why now?Lippi is my big time hero and my favourite coach kupita wote wa Juve(Conte inclusive)lakini kwa hili sikubaliani naye!ten years?hii sio Arsenal bwana!Inter waliwezaje kutwaa ubingwa wa ulaya mwaka ule wakati Juve,Milan,Roma na Napoli zikiwa hoi kuliko sasa?he must be jocking!

Tulipomtwanga Chelsea tuliishia wapi?
Inter ya Mourinho ilikua na what is called the Mourinho's factor na huwezi kumlinganisha Mou na Conte, ukubali ukatae!
 
Hata Juve wakitolewa europa na kuendelea kuharibu ulaya,wasitoe excuse ya kiwango cha serie a.Waseme tu "tumeshindwa soka,tuhamie formula one na Ferrari zetu",period!

Mkuu Serie A inashuka kiwango siku baada ya siku kwa sababu ya siasa chafu za ndani. Hiyo Roma unaisifu ingekua EPL ingekua chini ya Everton na Spurs

Ukitaka kulinganisha mafanikio ya kwenye Champions League ya PSG na Juventus utakua unakosea, PSG kwa kikosi walichonacho hata wangekua wanatokea ligi ya Slovenia wangesumbua tu.

Ukitaka kujua nguvu ya pesa itazame Man City au Malaga ya msimu uliopita.

Lakini kikubwa pia ni kocha gani anapewa team, ona tofauti ya Barca ya Guardiola na ya Tata Martino, Man United ya SAF na Moyes???!!!
Conte kashafanya makubwa ndani ya Italia, kwa njni anashindwa kufika hata nusu fainali ya Champions League? Kama stability ya kikosi anayo tena ya muda mrefu sasa, halafu anashindwa hata kuifunga Copenhagen?
 
Juventus v Trabzonspor

Juventus are the favourites in the whole competition, by far. We are perpetually debating the Europa League during the managers' meeting in Geneva. Why? Because clubs which have failed in the Champions League can still win a European title.

But, often, if you look at the prize list of the Europa league, nine times out of 10, victory has gone to a team coming from the Champions League. This year, the team everybody is betting on Juventus - and rightly so. I see them winning against Trabzonspor.

Forza Bianconeri!
 
Conte: Juve will respect Europa League

Juventus coach Antonio Conte says he is not devaluing the Europa League by rotating his team for the last 32 clash with Trabzonspor and insists he has his sights set on winning the competition.

The final of this season’s Europa League will be at Juve’s Turin Stadium, with Bianconeri fans hoping their side will deliver a record fourth triumph in the competition on home soil.

Questions have been raised about how seriously Conte is taking the competition following his side’s Champions League exit but while the Juve boss admitted he will make changes against Trabzonspor, he outlined his hopes to win the “prestigious” Europa League.

"I've done some calculations and I see that in the next 51 days, the players are going to have 16 games, including an international break, which means they will be playing every three days," Conte said at a news conference in Turin.

"We've all got to be ready -- all of the squad -- because I'm going to need everybody, what with Serie A and the Europa League.

"The Europa League is certainly prestigious for all of us. We've got to try to reach the final, using all of the players we've got. They're all going to have to be ready for when somebody needs a pit-stop. We want to progress and it's an opportunity for all of us to take as they're all going to make their contribution."

Juventus are regarded as one of the favourites to win the Europa League this season, having been eliminated somewhat surprisingly from the Champions League.

"I don't know if Juventus are favourites or not, but I thank people for thinking that," Conte continued. "We want to go all the way and to do this, I need everybody in my squad, including the physios and doctors.

“We can't think we can play 23 games in a few months with all the same players. We've got to raise the tension levels because we've just got three months and the games that are arriving now are those which can take you further in Europe, or closer to the Scudetto.

“These three months are going to be intense, and they will get even more intense the further along we go. Winning the Europa League would certainly represent something beautiful; extraordinary."

Angelo Ogbonna is one of the beneficiaries of Conte's squad rotation, taking his place in the back three on Thursday night with Giorgio Chiellini sidelined. The Italian defender is keen to take his chance to help keep the Bianconeri on course for a Serie A and Europa League double.

"Our intention is to go through," he said. "We know we have lots of games, but all we can do is play our best, looking for our chances."
 
Kipyenga kishapulizwa cha mechi yetu ya kwanza ya Europa dhidi ya Trabozonspor ya Turkey
 
Hata salamu hakuna pachanya umeanza kwa shari, team yako ina hali gani?

Ahaaa kwema mkuu Mourihno??
Mi namalizana na Swansea baadae kidogo....Hofu yangu kwako tu...
Maana makocha wanatupiana maneno huko...sijui safari hii mkitolewa itakuwaje..
 
Last edited by a moderator:
Ahaaa kwema mkuu Mourihno??
Mi namalizana na Swansea baadae kidogo....Hofu yangu kwako tu...
Maana makocha wanatupiana maneno huko...sijui safari hii mkitolewa itakuwaje..

Hawa jamaa si wabaya asee, wako vizuri na hili goli moja letu watatutesa sana tukienda Uturuki

Kwa kweli tukitolewa mapema hivi sitamuelewa kabisa Conte
 
Paul Pogba anatupatia goli la pili, sasa tunaweza kupumua hata mechi ya marudiano hatutacheza kwa presha

Forza Ragazzi
 
Paul Pogba anatupatia goli la pili, sasa tunaweza kupumua hata mechi ya marudiano hatutacheza kwa presha

Forza Ragazzi

Inabidi baada ya mechi uje na mtazamo juu mfumo wa mabeki 3 wanaotumia Juve kama unafaa au vp katika soka la Ulaya (nje ya Italy)..
Naona kama unawasumbua sana nje ya Italy kwenye mfumo wa mabeki 4....
 
Inabidi baada ya mechi uje na mtazamo juu mfumo wa mabeki 3 wanaotumia Juve kama unafaa au vp katika soka la Ulaya (nje ya Italy)..
Naona kama unawasumbua sana nje ya Italy kwenye mfumo wa mabeki 4....

Waangalie kwanza Napoli halafu tutalijadili hili Mkuu
 
Back
Top Bottom