Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
Pirlo anachezesha kama hastaafu msimu huu. Very intelligent.
Mimi nipo,kesho nita park bus kwenye thread ya Barca niki wa analyse Messi,neymar na suarez-trio hatari ya Barca,je wataweza penetrate Berlin wall la Bayern? na jee Barca anaweza kuwa na 60% possession???Harafu leo ulikuwa wapi we mwanamke?
Naja chap chap dear.....
asikudanganye pirlo anapiga classic passes hadi raha. hao wakina ramos walikuwa wanakimbiakimbiaa tu
Remember when we lost to 4-1 against Dortmund in the first leg of 2012-13 semi-final but our hopes were still alive even after conceding 4 goals in a single match. Sasa wewe maneno yako hayafanani na mpira, kama sio fani yako usilazimishe.
Bale katuzingua sana sikuona umuhimu wake wa kuwa dimbani
Juve vs Barca final
Huu uzi utaendelea kuwepo mkuu na maandishi yetu pia...
Tusubiri muda ukifika...
so wamewananihii ila kwa mbinde kweli...au?
Duh! Kuna watu wana viwembe mikononi nini......
asikudanganye pirlo anapiga classic passes hadi raha. hao wakina ramos walikuwa wanakimbiakimbiaa tu
Remember when we lost to 4-1 against Dortmund in the first leg of 2012-13 semi-final but our hopes were still alive even after conceding 4 goals in a single match. Sasa wewe maneno yako hayafanani na mpira, kama sio fani yako usilazimishe.
kwani ule ubishi wetu haujaisha bado ?
kwamba pirlo na kroos ni mbingu ni ardhi ?