Juventus vs Real Madrid; Pirlo vs Toni Kroos

Juventus vs Real Madrid; Pirlo vs Toni Kroos

Harafu leo ulikuwa wapi we mwanamke?
Mimi nipo,kesho nita park bus kwenye thread ya Barca niki wa analyse Messi,neymar na suarez-trio hatari ya Barca,je wataweza penetrate Berlin wall la Bayern? na jee Barca anaweza kuwa na 60% possession???
 
asikudanganye pirlo anapiga classic passes hadi raha. hao wakina ramos walikuwa wanakimbiakimbiaa tu
 
asikudanganye pirlo anapiga classic passes hadi raha. hao wakina ramos walikuwa wanakimbiakimbiaa tu

na mara zote kazi yake huwa ni kuuamuru mpari uende anapotaka yeye..na mpira hutii bila shuruti...halafu kuna mtu anamlinganisha na kroos..!!!
 
TUPACified hivi ulimaanisha ban yako mpaka second leg au hii first leg? Mi nataka niwe wakili wako usitoke humu jamvini....
 
Last edited by a moderator:
Mie ni shabiki mkubwa wa RMA Hamna usajili mbovu uliofanywa na madrid kama huu wa kroos na james na kumuacha alonso na di maria, bahati leo pogba hayupo mana huwez kuingia ndani huna holding midfielder na ndan unakutana na mtu kama artulo vidal na pirlo(mafundi) na kwa madrid ni modric na khedira au yule illarmend pekee ndio wanaweza kuendana na hawa watu khedira/illarmend anapga 6 modric 8 inakua battle ya pirlo v modric wote mchezo wao mmoja ila bahat mbaya modric nae majeruhi afu wanamforce anapga 6 ili yule mjinga kroos aanze. 2nd leg tuombe itokee miujizaa tuu au tutumie zaid pembeni mana madrid kiungo kizuri hatuna
 
Remember when we lost to 4-1 against Dortmund in the first leg of 2012-13 semi-final but our hopes were still alive even after conceding 4 goals in a single match. Sasa wewe maneno yako hayafanani na mpira, kama sio fani yako usilazimishe.

Mzee hauezi fananisha ile madrid ya kipindi kile kati kati una watu kama khedira, modric, alonso mbele una di maria, benzema, ozil na ronaldo wakipewa backup ya nguvu na marcelo mchezaji ninae mpenda kuliko wote pale madrid...... unaiona timu inakuja kabisaa inaforce modric kanikamatia dimba la juu anazunguka kama anavyotaka wakati huo alonso yupo kama vile hayupo wee unashangaa tu kwanini gundogan hatembei dah sijui unanielewaa????????
 
Huu uzi utaendelea kuwepo mkuu na maandishi yetu pia...

Tusubiri muda ukifika...


bwana weeeh ndugu yangu unajisumbua tu...hao hawajui historia ya hizo timu.

kwa kifupi Juve ndio walimtiririsha Del Bosque hapo Madrid akaonekana hana thamani yaani ni sawa na kopo la chooni.

pia Juve ndio walipelekea Hiero kuacha kitambaa cha unahodha hapo madrid na kustahafu soka.

so wajifunze historia kwanza
 
"Real Madrid akifungwa game
yoyote kwenye hii tie na Juve nipigwe ban" vp bdo hajapigwa ban?
 
Mara sijui bale mara sijui Pirlo vs Kroos...

ukweli ni kwamba hata marcelo alipwaya.. alikua anakimbia kimbia na kupiga krosi zisizo na pointi.

Pirlo huyo alikua anajaribu kuamisha mpira toka katikati kwenda wingi ya kulia ama kushoto... kidogo counter.. (sijui ndo alikua anamuogopa Kroos , coz hakucheza square za ku-push timu... wakati huo huo Kroos alipotea na kumfanya Pirlo aonekane bora japo hakufanya la msingi sana .... Mkongwe ni Mkongwe..)

Bale sio kitu mlipoteza pesa(mnisamehe)

Abdallah Pepe awekwe benchi... Huyu ni beki "mjanja mjanja mwenye bahati".. Varane achukue namba na Ramos

Varane njo u- #KTBFFH
 
Remember when we lost to 4-1 against Dortmund in the first leg of 2012-13 semi-final but our hopes were still alive even after conceding 4 goals in a single match. Sasa wewe maneno yako hayafanani na mpira, kama sio fani yako usilazimishe.

kwani ule ubishi wetu haujaisha bado ?
kwamba pirlo na kroos ni mbingu ni ardhi ?
 
kwani ule ubishi wetu haujaisha bado ?
kwamba pirlo na kroos ni mbingu ni ardhi ?

Always you don't talk about football, ushabiki wako uko kisimba na Yanga zaidi, uliwahi kuandika humu uipendi Barca unampanda Messi. Wewe hukuwa na ubishi na mimi, rejea kwenye comments zangu huko nyuma nimemwelezea Pirlo.
 
Roy Keane: "It was very difficult for Real Madrid tonight playing with 10 men. Gareth Bale gave them absolutely nothing."

Paul Scholes: "I'd say 9 men with Sergio Ramos as well. There was a real lack of quality with him in midfield tonight."
 
Back
Top Bottom