MO11
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 19,057
- 39,387
Hahaha dah! Mafanikio kimataifa yanajieleza lakini
timu mbili tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha dah! Mafanikio kimataifa yanajieleza lakini
sihitaji video clips kutambua uwezo kwamba pirlo ni nuksi kuliko kroos ila wewe unahitaji clips kuniaminisha
timu mbili tu
Toni Kroos: the best passer in the Champions League 2014/15 (95% pass completion - 683 passes). Wewe amini unachoamini.
Sina ubaya na Juve, lakini bi kizee kakaa kwenye reli lazima ajeruhiwe leo. Hatua ya nusu fainali kukaa mbele ya Real Madrid ni kujitafutia balaa, tuonane Berlin kama mtaweza kuwapiga Bayern.
Leo ni burudani tu, halafu kesho tucheke watu watakaposhikwa, haha.
Nimeoteshwa usiku wa leo Bayern 3,Barca 1.
Lazima wapigwe wale, si unaona hata humu wamepotea ingekuwa mechi ya La liga wanacheza na Deportivo la Coruña ungeona makelele yake. lakini UCL semi-final wakina Aleyn sijui wamejificha wapi!
ushawahi kusikia kuna siku pirlo kawa best passer kumuangalia pirlo ni raha bana akikamata dimba lake mwite Chuck Norris
ana kila kitu cha kuitwa kiungo mchezeshaji
kachezea inter milan ac milan na juventus ila hakuna hata mtu mmoja aliyewahi kumuita a traitor
Hahaha dah! go easy on them.36 years-old Andrea Pirlo is a legend and always I'll give him muximum respect, but I don't understand your point here. Kwa confidence zote leo tunashinda mechi na yeyote atakayekutana na sisi kwenye final in Berlin tunapiga.
Kitu kingine, kuidharau Spanish football kwa waingereza na mamluki wao ni tabia na mazoea tu, lakini kila mtu anajua ukweli siku hizi England Cricket Team wakikutana na timu ya India ndio intersting match. Football labda washindane huko huko kwao, Scotland, Ireland na sijui Wales lakini wasijichanganye na timu nyingine za Ulaya.
Atleti walivyowafundisha Chelsea mpira? Sevilla matusi wanayofanya Europa hamyasikii ama ni kiburi tu?
TUPACified ban ya nini tena ili tukukose humu jamvini? Aiseee Uzi wenu utapoa sana, weka dau lingine pliziiiiii.....
Achana na Pirlo hilo ni chata lingine aiseee.......naona mapicha mitandaoni ya simba na swala so ajabu leo tukashuhudia swala akifukuza simba...... Sisi Barca hatuna shida ubavu tunao yoyote kati yenu ni halali yetu maana fainaly ni yetu na kombe ni letu.
#VarmosBarca
#ForzaJuve
Kumbe wewe ni barcelona? Kwaheri. Hiyo team naichukia kiama.
36 years-old Andrea Pirlo is a legend and always I'll give him muximum respect, but I don't understand your point here. Kwa confidence zote leo tunashinda mechi na yeyote atakayekutana na sisi kwenye final in Berlin tunapiga.
Kitu kingine, kuidharau Spanish football kwa waingereza na mamluki wao ni tabia na mazoea tu, lakini kila mtu anajua ukweli siku hizi England Cricket Team wakikutana na timu ya India ndio intersting match. Football labda washindane huko huko kwao, Scotland, Ireland na sijui Wales lakini wasijichanganye na timu nyingine za Ulaya.
Hahahaha pole sana wangu, japokuwa tuna wanetu kule CR7 na Chicharito hapana aiseee penda sana Barca......
Wewe una utani mbaya sana.kuna watu huwa wanafabanisha Newcastle na Juventus kwa jezi zao, huenda akawa anajua ni kutoka England.
Wanakuja na kupotea? Europa League kwenye last 10 years imekuwa dominated na La Liga kwa kiasi kikubwa. Champions league iko wazi. Barca na Madrid wana-dominate wenzao kwenye ligi, kwa sababu wana class and quality above everyone else.Ha ha ha ha wanakuja wanapotea kuna kipindi walikua malaga deportivo levante
njoo ligi dume huku
hispania ligi inaamuliwa wa mechi mbili za elclassico unajua sunderland msimu uliopita alifanyaje ligi ?
kati ya Comment zote, ya leo umenikosha sana mwanangu.
Wanakuja na kupotea? Europa League kwenye last 10 years imekuwa dominated na La Liga kwa kiasi kikubwa. Champions league iko wazi. Barca na Madrid wana-dominate wenzao kwenye ligi, kwa sababu wana class and quality above everyone else.
Premier league ni kama Mwana FA alivyowahi kusema, 'mbio za panya hata ukishinda, utabakia tu kuwa panya'.