Juventus vs Real Madrid; Pirlo vs Toni Kroos

sihitaji video clips kutambua uwezo kwamba pirlo ni nuksi kuliko kroos ila wewe unahitaji clips kuniaminisha

Toni Kroos: the best passer in the Champions League 2014/15 (95% pass completion - 683 passes). Wewe amini unachoamini.
 
ushawahi kusikia kuna siku pirlo kawa best passer kumuangalia pirlo ni raha bana akikamata dimba lake mwite Chuck Norris
ana kila kitu cha kuitwa kiungo mchezeshaji

kachezea inter milan ac milan na juventus ila hakuna hata mtu mmoja aliyewahi kumuita a traitor
 
Sina ubaya na Juve, lakini bi kizee kakaa kwenye reli lazima ajeruhiwe leo. Hatua ya nusu fainali kukaa mbele ya Real Madrid ni kujitafutia balaa, tuonane Berlin kama mtaweza kuwapiga Bayern.

Leo ni burudani tu, halafu kesho tucheke watu watakaposhikwa, haha.

Nimeoteshwa usiku wa leo Bayern 3,Barca 1.

Lazima wapigwe wale, si unaona hata humu wamepotea ingekuwa mechi ya La liga wanacheza na Deportivo la Coruña ungeona makelele yake. lakini UCL semi-final wakina Aleyn sijui wamejificha wapi!

Subirini kesho muone kandanda safi siyo enzi zile hiyo ilipitwa walitumia chansi ya majeruhi kutumaliza, sasa kisasi lazima kilipwe mbele ya utatu mtakatifu wa NeMeS........
 
Last edited by a moderator:
ushawahi kusikia kuna siku pirlo kawa best passer kumuangalia pirlo ni raha bana akikamata dimba lake mwite Chuck Norris
ana kila kitu cha kuitwa kiungo mchezeshaji

kachezea inter milan ac milan na juventus ila hakuna hata mtu mmoja aliyewahi kumuita a traitor

36 years-old Andrea Pirlo is a legend and always I'll give him muximum respect, but I don't understand your point here. Kwa confidence zote leo tunashinda mechi na yeyote atakayekutana na sisi kwenye final in Berlin tunapiga.
Kitu kingine, kuidharau Spanish football kwa waingereza na mamluki wao ni tabia na mazoea tu, lakini kila mtu anajua ukweli siku hizi England Cricket Team wakikutana na timu ya India ndio intersting match. Football labda washindane huko huko kwao, Scotland, Ireland na sijui Wales lakini wasijichanganye na timu nyingine za Ulaya.
 
Hahaha dah! go easy on them.

Saivi hiyo deal ya Tv rights itanufaisha vilabu vingi Liga, wataweza ku-afford kuendesha timu zao bila noma sana. Prem-faces wajiandae sana kuwa watazamaji.

Solutions pekee itakuwa ni kuombea Liga teams zikutane zenyewe kwa zenyewe kwenye K.O stages Ulaya kama msimu huu Valencia alivyopunguzwa na Sevilla, na Atleti walivyopunguzwa na Madrid.
 
Atleti walivyowafundisha Chelsea mpira? Sevilla matusi wanayofanya Europa hamyasikii ama ni kiburi tu?

Ha ha ha ha wanakuja wanapotea kuna kipindi walikua malaga deportivo levante
njoo ligi dume huku
hispania ligi inaamuliwa wa mechi mbili za elclassico unajua sunderland msimu uliopita alifanyaje ligi ?
 
TUPACified ban ya nini tena ili tukukose humu jamvini? Aiseee Uzi wenu utapoa sana, weka dau lingine pliziiiiii.....

Achana na Pirlo hilo ni chata lingine aiseee.......naona mapicha mitandaoni ya simba na swala so ajabu leo tukashuhudia swala akifukuza simba...... Sisi Barca hatuna shida ubavu tunao yoyote kati yenu ni halali yetu maana fainaly ni yetu na kombe ni letu.
#VarmosBarca
#ForzaJuve

Kumbe wewe ni barcelona? Kwaheri. Hiyo team naichukia kiama.
 
Last edited by a moderator:
Kumbe wewe ni barcelona? Kwaheri. Hiyo team naichukia kiama.

Hahahaha pole sana wangu, japokuwa tuna wanetu kule CR7 na Chicharito hapana aiseee penda sana Barca......
 
Leo Juve anafanya mauaji ya hali ya juu
 
36 years-old Andrea Pirlo is a legend and always I'll give him muximum respect, but I don't understand your point here. Kwa confidence zote leo tunashinda mechi na yeyote atakayekutana na sisi kwenye final in Berlin tunapiga.
Kitu kingine, kuidharau Spanish football kwa waingereza na mamluki wao ni tabia na mazoea tu, lakini kila mtu anajua ukweli siku hizi England Cricket Team wakikutana na timu ya India ndio intersting match. Football labda washindane huko huko kwao, Scotland, Ireland na sijui Wales lakini wasijichanganye na timu nyingine za Ulaya.

kuna watu huwa wanafananisha Newcastle na Juventus kwa jezi zao, huenda akawa anajua Juventus ni kutoka England.
 
kuna watu huwa wanafabanisha Newcastle na Juventus kwa jezi zao, huenda akawa anajua ni kutoka England.
Wewe una utani mbaya sana.

Hao NC nao wameoza sana hasa hizi mechi za mwisho kwa kweli wanapoteza mfululizo yaani nje na ndani, sijui nini kilichowasibu ghafla!
 
Ha ha ha ha wanakuja wanapotea kuna kipindi walikua malaga deportivo levante
njoo ligi dume huku
hispania ligi inaamuliwa wa mechi mbili za elclassico unajua sunderland msimu uliopita alifanyaje ligi ?
Wanakuja na kupotea? Europa League kwenye last 10 years imekuwa dominated na La Liga kwa kiasi kikubwa. Champions league iko wazi. Barca na Madrid wana-dominate wenzao kwenye ligi, kwa sababu wana class and quality above everyone else.

Premier league ni kama Mwana FA alivyowahi kusema, 'mbio za panya hata ukishinda, utabakia tu kuwa panya'.
 
-EPL anaecheza kuwania kombe la UEFA ni Chelsea peke yake, huyu ndo huwa anaweka malengo ya kubeba kombe la UEFA.
-Spain ni Barca, Real Madrid na Atletico Madrid, EPL timu zao hata zikitoka Mtoano au Makundi huwa wanaona ni kawaida tu. Bora Man U arudi huenda akaleta ushindani.
-EPL ni bure kabisa, napenda kuangalia mpira ila msimu huu EPL nimeangalia Mechi moja ya Chelsea na Man U, tena nimeambiwa niangalie na Dota wanagu everlenk, mbali na hapo nisingeangalia kabisa hii Ligi.
-Hata Simba na Yanga ukiangalia unaona ni bonge la mechi kumbe wanachuana vibonde kwa vibonde, ndo EPL sasa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom