mankachara
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 6,152
- 3,473
Hahaha, Pirlo na Kroos hawatakabana moja kwa moja, wanazichezesha timu zao wakitokea deep, nachozungumzia hapa ni nani ataichezesha timu yake vyema.
FYI, Pepe ndio Real Madrid's best defender for the past 2 years, Ramos stole the show kwa magoli tu. Pia Tevez akifanikiwa kupita kwa Pepe, atakuwa Varaneted kabla hajaleta madhara.
sawa mkuu, tusubiri bado muda kidogo, kwa kawaida mechi kubwa nyingi pepe hua ndio anasababisha maafa kwenye madrid, laiti angekuwepo modric, ingekua afazali. na hata kama mimi ni kocha ningemchezesha ramos na varane na pepe natupa nje. pepe kwa saivi haaminiki