Juventus vs Real Madrid; Pirlo vs Toni Kroos

Juventus vs Real Madrid; Pirlo vs Toni Kroos

Hahaha, Pirlo na Kroos hawatakabana moja kwa moja, wanazichezesha timu zao wakitokea deep, nachozungumzia hapa ni nani ataichezesha timu yake vyema.

FYI, Pepe ndio Real Madrid's best defender for the past 2 years, Ramos stole the show kwa magoli tu. Pia Tevez akifanikiwa kupita kwa Pepe, atakuwa Varaneted kabla hajaleta madhara.

sawa mkuu, tusubiri bado muda kidogo, kwa kawaida mechi kubwa nyingi pepe hua ndio anasababisha maafa kwenye madrid, laiti angekuwepo modric, ingekua afazali. na hata kama mimi ni kocha ningemchezesha ramos na varane na pepe natupa nje. pepe kwa saivi haaminiki
 
Fair enough, game itaanza tutaona yote.
 
Kuna bofoya alikuwaga Juve back in the '00s, anaitwa Camoranesi. Game moja ya 2nd leg Torino alimpiga El Phenomenon kipepsi cha mdomo wakati Ronaldo anakimbia kuwahi krosi ya Roberto Carlos. Jamaa alipigwa bonge ya mtama, wakala wote red. Mpaka leo nikifunga macho naliona lile tukio.

Juve leo hata kwa uhuni hawatuambii kitu, mano-a-mano kila kitu. Leo tunalipa maumivu yote.
 
Real Madrid (4-4-2): Casillas; Carvajal, Pepe, Varane,
Marcelo; James, Ramos, Kroos, Isco; Bale, Ronaldo.
 
Kuna bofoya alikuwaga Juve back in the '00s, anaitwa Camoranesi. Game moja ya 2nd leg Torino alimpiga El Phenomenon kipepsi cha mdomo wakati Ronaldo anakimbia kuwahi krosi ya Roberto Carlos. Jamaa alipigwa bonge ya mtama, wakala wote red. Mpaka leo nikifunga macho naliona lile tukio.

Juve leo hata kwa uhuni hawatuambii kitu, mano-a-mano kila kitu. Leo tunalipa maumivu yote.

unauhakika?
 
Juventus (4-3-1-2): Buffon; Lichtsteinier, Bonucci,
Chiellini, Evra; Marchisio, Pirlo, Sturaro; Vidal; Tevez,
Morata.
 
Najua leo kina vidal watahakikisha wanafanya kila aina vurugu kuhakikisha mr Panenka[pirlo] hapati bugudha ya aina yeyote na anapata muda wa kutosha na mpira kucreate nafasi,lakini pia namuona tevez kama mtu muhimu na hatari,uwezo wake wa kutokea nyuma akidribble,nguvu na mbio zake znaweza kumpa Alegri extra man kwenye midfield...Lakini Tatizo kubwa la juve ni wazee average ya umri wa kikosi chao 31yrs plus Kocha wao mwenyewe Alegri dah ni shida tupu juve hii ingemkuta conte kwa hatua kama hii..im sure tungekua tunaongea mengine saivi
 
morata anawaambia mashibiki siye kichwa mmeona. goli zuri kuanzia build up yake
 
Back
Top Bottom