raphael andrew
JF-Expert Member
- Aug 27, 2017
- 817
- 938
[emoji116]Juventus wametangaza tickets za msimu ujao zote zimenunuliwa (SOLD OUT) kufuatia kutua kwa Cristiano ronaldo klabuni hapo licha ya bei za tickets kupanda kwa asilimia 37% lakini zimemalizika ndani ya wiki moja tu.
mkuu hio milion 6 za madafu au USDNa wameuza jezi zenye jina la ronaldo laki sita kwa muda wa masaa 24 tu nakuingiza dollar million 70. Japo Addidas ndiye mtengenezaji Juve watapata million 6
biashara kichaa hii... kumbe TZ kuwa masikini kwa mikataba mibovu ni halali...Na wameuza jezi zenye jina la ronaldo laki sita kwa muda wa masaa 24 tu nakuingiza dollar million 70. Japo Addidas ndiye mtengenezaji Juve watapata million 6
Hapo hakuna mwenye hasara. JUVE, CR7 & MADRIDNa wameuza jezi zenye jina la ronaldo laki sita kwa muda wa masaa 24 tu nakuingiza dollar million 70. Japo Addidas ndiye mtengenezaji Juve watapata million 6
USD mkuu na addias anabaki na 64mkuu hio milion 6 za madafu au USD
UJAASOMA MAPATO YA LIGI ANAEONGOZA HUTOLIPA TENA UWANJAN WA TAIFA KAMA SIO KUTOKWENDAbiashara kichaa hii... kumbe TZ kuwa masikini kwa mikataba mibovu ni halali...
Hivi Arsenal, hawakuona umuhimu wa CR? au ndiyo Wenger aliondoka na 'kibubu'! Maana mzee yule alikuwa ana'make' sana kwa gharama za kutuhuzunisha mashabiki.Unashangaa Tiketi Kipindi Cha Wiki Mbili Zilizopita Kabla Hajasajiliwa Tetesi Tu Za Kumsajili Huyo Jamaa Thamani Ya Juve Kwenye Soko La Hisa Ilipanda Kwa Zaidi Ya Asilimia Mia
Wange uza uwanja wao ndo wamnunue.Huyu ronaldo huyu sasa....ingelikuwa King Messi je!!!
Wa
Wange uza uwanja wao ndo wamnunue.
Wakimhitaji wajipange lakini waangalie wasiende kukopa viccoba.Kweli kabisa kiongozi...King mtu mwingine bwana...
Haziwezi isha kwasababu kuna match ambazo ni unknown, kama vile UEFA champions leagueSiwezi amini kabisa kama Season ticket za Juventus zimeisha. Napinga hilo.
Wakimhitaji wajipange lakini waangalie wasiende kukopa viccoba.
Haziwezi isha kwasababu kuna match ambazo ni unknown, kama vile UEFA champions league
Messi hana mauzo kushinda Ronaldo. Imagine akipozi kifua wazi Tangazo la boxer na ile midevu yake.Huyu ronaldo huyu sasa....ingelikuwa King Messi je!!!