Juventus watangaza tiketi za msimu ujao zimenunuliwa zote baada ya ujio wa Ronaldo

Juventus wametangaza tickets za msimu ujao zote zimenunuliwa (SOLD OUT) kufuatia kutua kwa Cristiano ronaldo klabuni hapo licha ya bei za tickets kupanda kwa asilimia 37% lakini zimemalizika ndani ya wiki moja tu.
[emoji116]
6d2cbce05d541214bd1c2c6344094d0f.jpg
 
Unashangaa Tiketi Kipindi Cha Wiki Mbili Zilizopita Kabla Hajasajiliwa Tetesi Tu Za Kumsajili Huyo Jamaa Thamani Ya Juve Kwenye Soko La Hisa Ilipanda Kwa Zaidi Ya Asilimia Mia
 
Na wameuza jezi zenye jina la ronaldo laki sita kwa muda wa masaa 24 tu nakuingiza dollar million 70. Japo Addidas ndiye mtengenezaji Juve watapata million 6
biashara kichaa hii... kumbe TZ kuwa masikini kwa mikataba mibovu ni halali...
 
Hapo hakuna mwenye hasara. JUVE, CR7 & MADRID
 
biashara kichaa hii... kumbe TZ kuwa masikini kwa mikataba mibovu ni halali...
UJAASOMA MAPATO YA LIGI ANAEONGOZA HUTOLIPA TENA UWANJAN WA TAIFA KAMA SIO KUTOKWENDA

ANAONGOZA SIMBA MIL 300+
ANGA 200+
AZAM NA WENGINEO

MSHINDI MIL 70 LOH
 
Unashangaa Tiketi Kipindi Cha Wiki Mbili Zilizopita Kabla Hajasajiliwa Tetesi Tu Za Kumsajili Huyo Jamaa Thamani Ya Juve Kwenye Soko La Hisa Ilipanda Kwa Zaidi Ya Asilimia Mia
Hivi Arsenal, hawakuona umuhimu wa CR? au ndiyo Wenger aliondoka na 'kibubu'! Maana mzee yule alikuwa ana'make' sana kwa gharama za kutuhuzunisha mashabiki.
 
Siwezi amini kabisa kama Season ticket za Juventus zimeisha. Napinga hilo.
 
Haziwezi isha kwasababu kuna match ambazo ni unknown, kama vile UEFA champions league
 
sasa hapo wanaposema zimeisha? na season ticket hua za Ligi mbali mkuu. Lakini kuisha hilo jambo ni gumu sana kwa Juventus.
 
Back
Top Bottom