McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,558
Wabongo utawawezaa sasa...kiingereza kilikuja na meli hiki!ha ha ha haaaaaaaa uwiiiii eat and waaaaaaaaat[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Mkuu hili swali ulikuwa unamaanisha kweli au ndo kama ben pol???Haha... sema huyo jamaa namjua anajua ngeli saana ndiyo maana sijaamini.
Hivi Vanessa alikuwa demu wake jux?
Satire at it's peak. Na pengine bado hajaelewa comment yako.Nitaendelea kuamini umekusudia kuandika hivyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu hili swali ulikuwa unamaanisha kweli au ndo kama ben pol???
Haha... hawezi kuwa serious na maisha kama hajaelewa.Satire at it's peak. Na pengine bado hajaelewa comment yako.
Utastaajabu ukijua kiwango halisi cha uelewa wa baadhi ya walimwengu. Labda kesho ama keshokutwa atagundua kuwa anakosolewa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haha... hawezi kuwa serious na maisha kama hajaelewa.
Mkuu unautani na jamaaa sasaUtastaajabu ukijua kiwango halisi cha uelewa wa baadhi ya walimwengu. Labda kesho ama keshokutwa atagundua kuwa anakosolewa.
kuachana hakuna umri tena wazee ndio wanaongoza kwa kuachana mkuu hasa hasa waliopata mafao ya kustaafu ndio balaaKwa umri wao ni lazima watengane iwe leo au kesho sidhani kama mlikua mnaamini watazeeka pamoja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kuachana hakuna umri tena wazee ndio wanaongoza kwa kuachana mkuu hasa hasa waliopata mafao ya kustaafu ndio balaa
kwani wakati wanatongozana walikuambia?Ni shilawadu ndio wanasema na Vanessa inasemekana alikuwa anachepuka kabla
Hahahahaha niliona ke wanapita kimya kimya kwenye huu uziNitaendelea kuamini umekusudia kuandika hivyo
Hahaha Mkuu umeacha watu hoi leoHahahahaha niliona ke wanapita kimya kimya kwenye huu uzi
Hit naona haiko poa sana.Hivi ni hit and run au EAT AND RUN?
Wahenga walisema nimenukuu tuKula ukimbie wala hakuna shida