Jux aachana na Vanesaa Mdee

Jux aachana na Vanesaa Mdee

Kwa umri wao ni lazima watengane iwe leo au kesho sidhani kama mlikua mnaamini watazeeka pamoja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
ha ha ha haaaaaaaa uwiiiii eat and waaaaaaaaat[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Wabongo utawawezaa sasa...kiingereza kilikuja na meli hiki!
Nadhani sahihi ilikuwa kusema "Hit and run"
 
Haha... sema huyo jamaa namjua anajua ngeli saana ndiyo maana sijaamini.

Hivi Vanessa alikuwa demu wake jux?
Mkuu hili swali ulikuwa unamaanisha kweli au ndo kama ben pol???
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Haha... hawezi kuwa serious na maisha kama hajaelewa.
Utastaajabu ukijua kiwango halisi cha uelewa wa baadhi ya walimwengu. Labda kesho ama keshokutwa atagundua kuwa anakosolewa.
 
Kwa umri wao ni lazima watengane iwe leo au kesho sidhani kama mlikua mnaamini watazeeka pamoja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kuachana hakuna umri tena wazee ndio wanaongoza kwa kuachana mkuu hasa hasa waliopata mafao ya kustaafu ndio balaa
 
sasa kama wameachana ww inakuhusu nn??? mbn ulivooachana na mtu wako haukuwahi kusema hapa
 
Afadhari. Kwahiyo Vanessa sasa available au?
 
kuachana hakuna umri tena wazee ndio wanaongoza kwa kuachana mkuu hasa hasa waliopata mafao ya kustaafu ndio balaa

Kuna umri ni nadra sana kutengana chief tena hata watu watawashangaa ila vijana ni kawaida aiseeee ndio maana vijana wakidumu sana watu lazima wawapongeze.
 
James delicious atakuwa kafurahi, huwa anamtaka jux na alisema hadi ampate.....
 
Back
Top Bottom