Jux aachana na Vanesaa Mdee

Jux aachana na Vanesaa Mdee

Sasa huyo jux mda wote anashinda kunako dressing table sasa kale katoto ka watu katakunwa na nani ?
 
Siwezi kufuatilia... labda notable icons kama Jay z.. Dre.. maana hawa hata usipofuatilia utaziskia tu ila hawa wachanga hadi uwafollow au uwafutilie
Mnajikuta wa mbele kumbe wa kishimundu
 
Eti Jux anamuhitaji zaidi Vanessa kuliko Vanessa anavyomuhitaji Jux. Sijui kuna ukweli kiasi gani hapo? Muda utaongea tu.
 
Labda Vanessa alivyoripoti central akamsnitch Jux
 
Vanessa atulie tu....madushe mbona yako mengi hapa mjini? JUX angemuangamiza Zaidi Vanessa kwenye ulaji sembe na kulostika. Aachane kabisa na waume za watu la sivyo atakuja juta huyu mtoto, mume wa mtu ni sumu.
 
Haha... sema huyo jamaa namjua anajua ngeli saana ndiyo maana sijaamini.

Hivi Vanessa alikuwa demu wake jux?


JUX alikuwa anapiga pumbu tu kwa ahadi za kumpa Vanessa unga na kuja kumlostisha hapo baadaye.
 
Ndo hawa wamarikani waliimba "sintankiii bwana anajibu nantakaaaaa"full kubana pua
 
Inawezekana kifungo cha Jack cliff kule china kinaisha soon so Jux anajitenga na Vanesa ampokee laazizi wake, maana aliimba atamsubiri.
 
Jux bana....ameito.....mb.......weeee ile k .....alafu ameamua kuiacha kaichoka...kha .....sisi waokota makombo ngoja tujongee.....sasa..
 
Back
Top Bottom