Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ukipata wa ndio inatosha....Anaacha warembo kwao anaenda kuokoteza huko nje 🤣🤣🤣 ila kwa huyu hapana
😊Mbona makasiriko bibie??Wewe ukipata wa ndio inatosha....
Midomo mirefu kama mmewahi umba mtu
Broo una hasiraMwambieni Jux aache USENGE km anapita humu kusoma nakwambia Jux acha USENGE huyo nae ataenda kutiwa Mimba na mdau mwingine sasa Wewe endelea kulambalamba lips
Mkichagulia wanawake kaka zenu inatosha😊Mbona makasiriko bibie??
Dogo Jux anazingua, ndio maana anasemwa vibaya Manzi km Ile ni kuitia Mimba fasta hakuna kupoteza MudaBroo una hasira
Bado hujasema, tulia utolewe uvivu!😊Mbona makasiriko bibie??
Jux ni kaka wa taifa 😅Mkichagulia wanawake kaka zenu inatosha
Sawa mkuuDogo Jux anazingua, ndio maana anasemwa vibaya Manzi km Ile ni kuitia Mimba fasta hakuna kupoteza Muda
Uvivu tena?Bado hujasema, tulia utolewe uvivu!
Uvivu=HasiraUvivu tena?
Hapana kwa kweli..kamuacha mrembo Caren kaenda kwa huyo..?! By the way priscilla ndio ushasanda hivyo ukikaa Tanzania utakosa deals za Nigeria, na huku hakuna anayekushobokea kiasi cha kukupa deals...habari ndio hio...Anaacha warembo kwao anaenda kuokoteza huko nje 🤣🤣🤣 ila kwa huyu hapana
Hakuna hio ni upotoshaji😆😆 Ilikua Great thinker zamani, sikuhizi Great sinker
Sawa 👍🏽Hakuna hio ni upotoshaji
Na wewe je 😂😂😂Uzi wa wambea huu
Eti kibuyuWanamlinda kivipi, kibuyu si chake mwenyewe?
Mambo ya celebrities ngumu kuelewa.
Kazi si ndio hiyo sasa unasemaje hawana kazk , wakati wanaripoti tukio??Reporters wa bongo wenyewe si hawana kazi