Jux alipaswa kupewa ndege impeleke harusini Nigeria

Jux alipaswa kupewa ndege impeleke harusini Nigeria

Sema kiukweli kuliko bimdashi anavyokwea mkwaju huku na huku then hatuoni faida si bora hata juski angepatiwa huo mkwaju awe anaendea ukweni tungepata japo umbea.
 
Sema kiukweli kuliko bimdashi anavyokwea mkwaju huku na huku then hatuoni faida si bora hata juski angepatiwa huo mkwaju awe anaendea ukweni tungepata japo umbea.
Nyumbu na uonaji wa faida kwa viongozi wa nchi wapi na wapi!!
 
Sema kiukweli kuliko bimdashi anavyokwea mkwaju huku na huku then hatuoni faida si bora hata juski angepatiwa huo mkwaju awe anaendea ukweni tungepata japo umbea.
Kwa hiyo mnaona wivu bibi mkubwa kukwea dreamliner kwenda angola? Mngemuona na ile Gulfstream G7000 mupyaaa, Ethîopia si mngekufa kabisa.
 
Yaani ndege zetu zitumike kupeleka dudu nigeria?
Burkina faso watuazime traole kwa muda.
 
Kwa mchango wa Wasanii wetu katika ushindi wa Chama. Jux alistahili Boeing 787 impeleke pamoja na Wasanii wote Lagos achukue jiko na kumrudisha nchini. Pia ubalozi wetu Abuja ilipaswa kushiriki kikamilifu kwenye harusi hii ya kipekee.
Uwe unaongea vitu vya maana dogo, hivi ulishajiuliza huyo Jux ana umuhimu gani katika uchumi wa nchi yetu au hata wewe mlipa kodi anakusaidia nini maishani mwako? Jux hana faida na nchi yetu na ile ndoa ni yake binafsi wala haihusu nchi yake or his countrymen, it's his damn business haituhusu sisi Watanzania bali yeye mwenyewe. Wale mastaa uchwara aliokwenda nao kule wengi ni machangudoa tu na wameenda kule kujihaibisha tu na kugawa uroda kwa Wanigeria au kulana wenyewe kwa wenyewe. Hatuna faida nao.
 
Hivi mnajua kuna wanafunzi wanakalia mawe madarasani?
By the way, ile personal life
 
Back
Top Bottom