Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,113
Uko sawa mkuu😁🙌 Sukari nyingi asubuhiWE REALLY DONT GIVE A FUXK, NI LINI ALITAKA KUONA PICHA ZA WATOTO WENU.
Hapana Yuko sawa ,moja ya ugonjwa wa akili ni kupoteza muda kufuatilia mambo ya kifamilia ya watu maarufu na kua emotional attached to it..Watu maarufu wanafuatiliwa kwa kile kilichowapa umaarufu na sio personal life zao , sasa wew mtoto wa jux kufanana nae Kuna kuhusu nini?Uko sawa mkuu😁🙌 Sukari nyingi asubuhi
mbona kama kakanyagwa? Au macho yangu tuAfrican BOY! Jux na Mkewe Pricy wameonesha sura ya mtoto wao 'Rakeem' kwa mara ya kwanza wakati akitimiza mwaka mmoja.
Priscy kupitia ukurasa wake wa Instagram ame-Share picha za mtoto wao zinazomuonesha sura na kumtakia mtoto wake maisha marefu na baraka tele.
Jux Na Priscy walibarikiwa kupata mtoto wao wa kwanza 'Rakeem' Agosti 24 mwaka Jana 2025.
View attachment 3655970View attachment 3655969
Kasoro umri tu.Jux mtuupuuu
We jamaa Acha unafikiJux mtuupuuu
Acha makasirikoWE REALLY DONT GIVE A FUXK, NI LINI ALITAKA KUONA PICHA ZA WATOTO WENU.