African BOY! Jux na Mkewe Pricy wameonesha sura ya mtoto wao 'Rakeem' kwa mara ya kwanza wakati akitimiza mwaka mmoja.
Priscy kupitia ukurasa wake wa Instagram ame-Share picha za mtoto wao zinazomuonesha sura na kumtakia mtoto wake maisha marefu na baraka tele.
Jux Na Priscy walibarikiwa kupata mtoto wao wa kwanza 'Rakeem' Agosti 24 mwaka Jana 2025.
View attachment 3655970View attachment 3655969
Haaaaaaaaaah sijui itakuwa liniWE REALLY DONT GIVE A FUXK, NI LINI ALITAKA KUONA PICHA ZA WATOTO WENU.
Ahsante kwa taarifa...
Karibu tenaAhsante kwa taarifa...
How will you feel unaona kabisaaa mtoto wako kafanana na ex wa mkeo??Ahsante kwa taarifa...
Hayanaga miongozo...How will you feel unaona kabisaaa mtoto wako kafanana na ex wa mkeo??
Baba zuriiKitanda hakizai haramu.
Hujajibu swali.. .!!Hayanaga miongozo...
i was hiding my child from the worldAfrican BOY! Jux na Mkewe Pricy wameonesha sura ya mtoto wao 'Rakeem' kwa mara ya kwanza wakati akitimiza mwaka mmoja.