Jux apost picha yenye “UTATA” kwenye ukurasa wake wa Instagram

Jux apost picha yenye “UTATA” kwenye ukurasa wake wa Instagram

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Mwanamuziki matawi ya juu bongo , na anayejua kupangilia vizur mavazi yake, juma jux , hivi karibuni amezua gumzo kwenye mitandao ya kijamii baada ya kupost picha akiwa nusu utupu, hali iliyozua sintofahamu kwa mashabiki zake .


Tunajua Jux ana advertise boxer zake , ila kwa huu mkao wa kwenye picha huenda kuna biashara nyingine anayoitangaza kwenye ulimwengu wa kiroho .

Ila huyu nae ana nyota ya kunguni, hat ajichetue vipi no one cares

IMG_3809.jpg
 
Back
Top Bottom