Jux asema Vanessa wake ni zaidi ya wema na zali

Changamoto kubwa haziko kwenye mahusiano kabla ya ndoa bali baada, ambapo vumbi la mihemko ya mapenzi motomoto likitulia ndio madhaifu huanza kuonekana!
Mmoja wenu asipokubali kuwa chini hamfiki hata kwamtogole
 
Hivi swala la dini kwao likoje hawa watu,kwani wote ni wakristu hawa?au ndo wanakusudia kufunga ndoa ya bomani?taarifa tafadhali.
 
Kwahiyo yule aliemtuma unga China akakamatwa ameamua amtelekeze?
 
Hivi unamaanisha huyo jux alikuwa na zali na wema kabla ya kuwa na vanessa au??
 
Changamoto kubwa haziko kwenye mahusiano kabla ya ndoa bali baada, ambapo vumbi la mihemko ya mapenzi motomoto likitulia ndio madhaifu huanza kuonekana!
Mmoja wenu asipokubali kuwa chini hamfiki hata kwamtogole

duu kwa mtogole umenikumbusha miaka flan hiv maisha hayaa
 
Na Jack Clif beach bebe........!!!!......?.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…