Leo msanii jux ameachia video yake aliyomshirikisha mondi a.k.a baba lao.Hii video unaweza kusema mambo manne creativity, passionity, proactivity and timing 👏👏
Yaani imewakutanisha wakali wa fashion na wametisha ile mbaya.Hii ngoma itampaisha Sana jux kimataifa ni hit song
Yaani imewakutanisha wakali wa fashion na wametisha ile mbaya.Hii ngoma itampaisha Sana jux kimataifa ni hit song