Jux ft Diamond sugua ni fire

Jux ft Diamond sugua ni fire

Jf inafurahisha Sana,
Kama asingetokea mtu na kusema usifananishe fb na jf,
basi kila mtu Angecomment hivi,

1*Rudi FB kwa watoto wenzio,
2*Unadhani huku Ni fb,
3*Hatupo fb hapa,
4*Unadhani wote wajinga kama fb,
5*Usituletee mambo ya fb,

Kwakua katokea mmoja alafu akasema usifananishe jf na fb na ndicho kilichotokea, basi kila mtu atacomment hivi,

1*Usifananishe fb na jf, fb Ni mtandao mkubwa Sana,
3*Unanichekesha kufananisha fb na jf,
4*Usifanishe fb na jf wewe,
5*Unajaribu kumfananisha mark na maxence,
6*Fb ni Moto wewe,
Na hawa, hawa kundi la pili, pia wangekuepo kwenye kundi la Kwanza,


Kama hujaelewa, hicho ulichoshika mkononi Sasa hivi fanya Kama unakitia kwenye maji.
 
Hili jambo la kuidharau Facebook ndio huwa linanichosha sana na kuona JF ina wajinga wengi kuliko FB!

Mtandao wako huu una account kule una hiyo habari?
Ulishawahi kuiona account ya Facebook huku?

Facebook inawatumiaji zaidi ya 1.5 billion hii forum yako ina watu wangapi?
Kila binadamu tajiri au mashuhuri duniani unayemjua ana personal account au page Facebook huku JF je?

Dharau muache nyinyi Facebook is not a fad!
Facebook kweli inawatumiaji wengi ila wajinga ndiyo wengi!!...kwani mkiwa wengi ndo hamuwezi kuwa wajinga!?
 
Back
Top Bottom