SawaNi ujinga wa kijamii tu unaowafanya mjione mna haki ya kumuingilia mtu katika maisha yake binafsi kwa stories za kuungaunga kwa sababu yeye ni celebrity.
Hii inaonesha maisha yenu yako empty kiasi gani mpaka mnamshambulia mtu asiyewahusu kwa sababu ni celebrity tu.
You don't have a life, so you end up obsessively watching someone else's life.
Secretly you wish you could live that life.
But you can't.
Gossip ni starehe kwa wajinga.
Simple minds discuss people, average minds discuss events, great minds discuss ideas.
You are a simpleton.
Gossip ni starehe kwa wajinga.
Mkuu haya yalikuwa ni mawazo ya mtu. Hayaja thibitishwa kisayansi na hayana uhalisia wowote... Hakuna mtu anaweza Ku discuss ideas tu 24/7 . Nasema tena hayupo duniani. Even those who discuss ideas they also get some times to discuss people. Unless otherwise their life will be a very very boring life..Simple minds discuss people, average minds discuss events, great minds discuss ideas.
You are a simpleton.
Sawa,
Wewe unaweza kuona "for fun" lakini deep down hata kwenye subconscious mind huko kuna saikolojia fulani ya kukosa empathy, kuna saikolojia fulani ya sadism, kuna saikolojia fulani ya umasikini. Kuna saikolojia fulani ya kushindwa kushika hamsini zako. Kuna saikolojia fulani hata yavku oroject failures zako mwenyewe kwa Jux. Kuna saikolojia filani ya hata kutamani maisha ya Jux na kumhasidi kwa wivu tu?
Kwanza hii ni basically kum cyber bully Jux. For fun. Ni kitu kibaya sana.
Hivi hamjafikiria kuwa haya maneno ambayo nyie mnaona for fun yanaweza kuleta mpasuko wa kweli katika ndoa ya Jux?
Au mmefikiria, ila hamjali tu?
Hamuelewi kwamba kwa nyie kujifurahisha kwenu kwa muda tu, kama Jux na mkewe na familia zao hawako makini hili jambo linaweza kuvunja ndoa kabisa kwa sababu mnachofanya kimsingi ni cyberbullying kwa Jux na familia yake?
Umeshawahi kuingiliwa katika ndoa au mahusiano yako na watu maelfu kwa maelfu usiowajua, mtandaoni wanakusakama na kukuongelea mambo yako ya ndani kama wanakujua wakati hawakujui?
Ushawahi kufikiria mtu anayepitia hali hiyo, tena akiwa anaishi ugenini anakuwaje?
Unajua Jux ana psychological resilience gani? Anapitia hali gani na mke wake kutokana na hicho kitu ambacho wewe unakifanya "for fun"?
Unajua kuwa Jux is not your toy to play with "for fun", ni mtu ana maisha yake na feelings zake?
Sijawahi kuita sex jambo la kijinga, so unaanza na strawman argument logical fallacy.Hata sex kuna watu hui ita " Mambo ya kijinga" lakini haifanyi sex kuwa jambo la kijinga
Mkuu haya yalikuwa ni mawazo ya mtu. Hayaja thibitishwa kisayansi na hayana uhalisia wowote... Hakuna mtu anaweza Ku discuss ideas tu 24/7 . Nasema tena hayupo duniani. Even those who discuss ideas they also get some times to discuss people. Unless otherwise their life will be a very very boring life..
Ukitaka kuamini hakuna mtu asie penda gossip.. Mtafute mtu wako yoyote wa karibu ( wife, friend etc) unae amini hapendi gossip , kisha mwambie👇
" Hivi fulani ulimkoseaga nini wewe? Mbona anaongea vitu vizito Sana kuhusu wewe aisee hadi nimeogopa.. Hebu baada ya lisaa nitafute.. Akikutafuta mwambie, " Au basi tu Wacha nisimtaje huyo mtu wala nisikwambie anacho kisema kuhusu wewe"..
Kama ni mkeo atakunyimba unyumba semester nzima.. Hadi umwambie ndio nafsi yake itatulia.
Nisipende gossip kwani Mimi robot?
Kama Jux kaoa, kaolewa, kajiunga kwenye familia, kajiunga kwenye utumwa, haikuhusu wewe.Mkuu, Jux is not married to Priscilla. Jux has just joined Priscilla's family which is headed by Priscilla's mother... Ndio maana Mara baada ya " Kufunga harusi", instead of living with his wife in Tanzania, he is shockingly living in Lagos Nigeria, where he and Priscilla share the same household with his mother in law..
Priscilla mother is the de facto head of a family in which jux has joined as a member. All the money that he is spending on her is his membership fees.
Sijakataa kuwa mbea. Nilikuwa nakukosoa hoja yako kusema Jux kaoaKama Jux kaoa, kaolewa, kajiunga kwenye familia, kajiunga kwenye utumwa, haikuhusu wewe.
Wewe ni mmbea tu unalazimisha kufanya mambo ambayo hayakuhusu yakuhusu.
Nimesema hata sex kuna watu wanaita jambo la kijingaSijawahi kuita sex jambo la kijinga, so unaanza na strawman argument logical fallacy.
Kizembe.
Unajibizana na mimi kwa hiyo tumia hoja niliyoitoa mimi.Nimesema hata sex kuna watu wanaita jambo la kijinga
Kuoa au kutooa si issue, kwa sababu ni maisha yake.Sijakataa kuwa mbea. Nilikuwa nakukosoa hoja yako kusema Jux kaoa
hiyo pic ni ya jux kweli au AI? mbona huzuni nimepata mimi
Yeye na wanaijeria wenzie wanapenda shari pia so tumekutana upande wa mke moto, upande wa mume moto 🤣
😅😅😅 Comments zinachekesha sana kwa kweli.Saiv anaitwa pili🤣🤣🤣 mara paap rotim kapost zake tiktok comments sasa zimejaa za shemeji nikupe umbea,shemeji kuna ubuyu.
Mkuu mi na Vee tunasali wote, ni kananyanyaswa hasa!🤔🥹...siwezi ongea kila kitu humu! Ntaambiwa nna wivuu🤔Aisee 😂😂😂 kumbe unawajua wewe vizuri. Good manipulators.
Vee mbona inajulikana jamaa anamu abuse sana, mpaka mama yake alishamwambia aachane na huyo mshenzi. Kwanza ni women beater jamaa, na anamsimanga sio poa, community ya watz US wanajua mambo kiundani na imefika kipindi jamaa hataki kabisa awasiliane na community za watz.
Ma west ni mashenzi mno.
Vanessa Mdee anacheke chooni huko
Hahahaha😂😂🤣🤣🤣🤣Wamemvesha mabaibui kama fala. Hayo mapazia sivai hata kama demu mwenyewe ni Beyonce